Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
- Thread starter
-
- #21
Hilo umejifanyia mwenyewe, soma swali!
Jasusi,
Inasikitisha kuona tuna watu wamekuwa mawaziri miaka karibu 20 wanabadilishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, lakini hatuoni ufanisi wa kule wanakopewa majukumu. Huko majimboni, wanapewa dhamana ya kuwawakilisha wananchi kwa kisa cha kuwa Waziri na imekuwa mtindo (fashion) kwa watu kukimbilia Ubunge ili wawe mawaziri.
Swali ni hili, je Marais wetu wanaendeleza utamaduni wa kuchagua na kuteua watu wadhaifu ili wasipigwe mapiku? Maana kama Rais anaendelea kututeuliwa mbangaizaji, je ina maana Rais anapenda wabangaizaji wasiohoji mambo au kumbishia?
Au kwa kuwa Rais ni mbangaizaji basi akiajiri na kutgeua Wachapa kazi ataaibikia na kuanza kudoda kisiasa kwa kuwa Wananchi wataanza kutoa tukuzo na sifa kwa mchapa kazi na si mbangaizaji?
Je Rais anaficha udhaifu wake kwa kuajiri wabangaizaji kwa gharama za kodi yetu?
Sawa mchungaji lakini wewe kama wewe ni kati yetu kwani wewe una mpango gani wa kutilt huo mzani?
Nimekiri udhaifu wangu kwanza na kutambua kuwa Rais wa Tanzania hana nia ya kweli kuliimarisha Taifa letu na ndio maana nimeandika hilo hapa na ndilo lililo jema kwa Taifa letu, kuusema ukweli!
Mimi sipo kati ya wale 1000 walioteuliwa. PIli kwa kukiri kwangu udhaifu ulioko na kuutambua bila kutoa sababu za kijinga kutetea udhaifu, huo ni mwanzo mzuri. Wanasemaga wenyewe kwanza acknowledge there is a problem, and clearly identify what is a problem.
Wala sijafika kuanza kutoa mapendekezo au kutoa solution, tuko kwenye early stage ya self identification and self examnation.
Si unaona, wenzako wako kwenye kutekeleza majukumu, wewe mwenzetu ndio kwanzaaa upo kwenye "early stage ya self identification and self examnation". KHATARI KUBWA HII!
Yeah Majukumu ya Kuhujumu, we know that is your game. Have fun and enjoy while it last!
Nimekiri udhaifu wangu kwanza na kutambua kuwa Rais wa Tanzania hana nia ya kweli kuliimarisha Taifa letu na ndio maana nimeandika hilo hapa na ndilo lililo jema kwa Taifa letu, kuusema ukweli!
Na wewe majukumu yako ni pumba na fitna na chuki zisizo maana kwa Rais aliyefanya mengi mema kwa muda mfupi aliokuwepo katika uongozi kuliko ma Rais wote wa awamu zote ukijumlisha. Tutakwenda samba samba!
Ukikuta mwanaume akili zake zimehamia nyuma ( tigo) wako kama ww
Haya halafu utuwekee pumba zako kama kawaida, lakini angalia wenzako washaanza kukushtukia maana hivi juzi juzi tu niliona wanavyoku kandia! nikasema AlhamduliLllah yale niliyoyaona mimi zamaaani wao ndio kwanza wanayaona!
Hahahaaaa, mkishindwa hoja mnahamia kwenye matusi, mkishindwa uchaguzi mnaanza choko choko na majungu na kuanzisha migomo. Hazisaidii kitu hizo.
Hahahaaaa, mkishindwa hoja mnahamia kwenye matusi, mkishindwa uchaguzi mnaanza choko choko na majungu na kuanzisha migomo. Hazisaidii kitu hizo.
ww una hoja tangu lini? Viroja ndio kazi yako bcoz u have uncircumsized mind. na Viroja havijibiwi & let me tell u seriously hapa JF no one is EVER STUPID, arrogant, idiot as
you are, is not about right of expressions which you deserve.View attachment 19540 is about upuuzi u possess
Mkuu umechekesha sana na huyo jamaa mwenye miwani!