Mkuu BAK inabidi usherehekee kwa kucheza ile ngoma ya kugaragara kwenye mavumbi kama ya yule mama mbunge wa Songea alivyofanya jana
Shukrani sana snowhite, sijui hii kitu imekuwaje sikuiona masaa yote haya hadi saa hizi. Mie yameisha banaa hakuna haja ya kuendelea kupandisha vioo ππ na wala usidhani nimechelewa kukujibu kwa kukupotezea bali kweli nilikuwa sijaiona. Check your email Ooops!!! your PM on how to post utube link. Nami kama nilikukosea naomba uniwire radhi. Ahsante sana. Hatuhitaji kumuita dada banaaa ππ, tumeweza kuyamaliza wenyewe lol! Haya najua hii kitu huwa inakurusha roho, kwa raha zako basi.
Thou its too late for me to see this BAK your my good bravo cheers .how you doing my dear kazi imenibana sana siku hizi .i realy miss yu chit chat guys i miss yu siwezi sema ila ngoja nitafute ada ya watoto january hiyo hapo.
My twin upo? missed u......Thou its too late for me to see this BAK your my good bravo cheers .how you doing my dear kazi imenibana sana siku hizi .i realy miss yu chit chat guys i miss yu siwezi sema ila ngoja nitafute ada ya watoto january hiyo hapo.