Shukrani kwa member aliyenisaidia

Usiwe mchoyo kiasi hicho.
Utasemaje huna cha kumlipa?
Unaonaje umtafutie hata zawadi ndogo ya 10,000?

Mbona Waafrika wachoyo sana?

Eti sina cha kumlipa...onyesha shukrani ili hata akipata nafasi bora zaidi akukumbuke tena
 
JF ni zaidi ya platform
 
Safi sana,Hongera sana Kwa mwana JF Kwa kujitoa Kwa ajili ya kijana mwenzetu,Mungu azidi kukubariki popote pale ulipo....Watu wenye mioyo ya kusaidia watu ni wachache sana kwenye Karne hii ya Sasa iliyojaa Ubinafsi.Mungu azidi kukubariki Huko uliko.
Lakini pia na wewe uwe na Nidhamu ya kazi,jitume,na uwe Bora siku Zote Hapo ulipo,Ili uzidi kufungua fursa za Wengine pia na utunze heshima ya aliyekuunganisha.
 
Asante kwa mrejesho. Kama ulivyosema usimuangushe kwa maana asije kujuta akashindwa kuwapa nafasi hata wenye uhitaji wengine.

Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
 
Usiwe mchoyo kiasi hicho.
Utasemaje huna cha kumlipa?
Unaonaje umtafutie hata zawadi ndogo ya 10,000?

Mbona Waafrika wachoyo sana?

Eti sina cha kumlipa

Maisha ya duniani ni mzunguko kaka
10000 haina thamani kama undugu na upendo
Muhimu ni kua ameongeza mtu wa muhimu kwenye maisha yake,sawa na kusema ndugu
Watasaidiana kwenye maisha kiujumla

Umenikumbusha jambo moja
 
Kuna mtu juu kasema jf ina watu wa aina zote.Aina ya kwanza hii.Ha ha ha haπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Maisha ya duniani ni mzunguko kaka
10000 haina thamani kama undugu na upendo
Muhimu ni kua ameongeza mtu wa muhimu kwenye maisha yake,sawa na kusema ndugu
Watasaidiana kwenye maisha kiujumla

Umenikumbusha jambo moja
Kaka usidanganywe hakunaga urafiki au undugu wa upande mmoja.

Ndio maana nimeshauri ajipange mbeleni naye aonyeshe shukrani hata kumnunulia kitu kidogo sna kama zawadi.
Hapo ataimarisha undugu wao.

Sisi wakristo tuna kitu kinaitwa fungu la 10 la mapato.

Unafikiri Mungu anahitaji pesa yetu sana?
Hapana bali nasi twaonyesha kujali na shukrani kwa kutuwezesha kupata riziki zetu.
Ni kuukuza uhusiano wetu na Mungu.
Nimekukumbusha nini?
Rafiki yetu hajambo?
 
Humu ndani Kuna watu sana yaan watu wa ukwel...
Kuna ushaur mzur sanaa πŸ˜€πŸ˜„ ni wewe mwenyewe kuchambua pumba na mchele....
KUNA KIPINDI NILIWAZA Maxence Melo atakua kaweka department kabisa za kusaidia watu....
Jf kwangu ni kama nyumbani....Tupo hapa hapa Bungeni kwetu JfπŸ˜„πŸ˜Š
 
Kiukweli nimefurahi mno Mana watoto walikosa protein jamani,ilikuwa wanakunywa uji wanalala. Hata kibarua Cha nguvu smt kinakosa ujue.

Mnabakia mnashindia uji Tena nafaka Ni mahindi. Ina pain mno so hata mental development yao inakuwa sio nzuri.
Uliwatanguliza watoto wako mbele, na Mungu akatenda kupitia mwana JF. Shikilia hapo hapo.. Kwako wewe watoto ni baraka.

Ubariwe na azidishiwe mwana JF mwenzetu aliyekushika mkono.
 
Usiwe mchoyo kiasi hicho.
Utasemaje huna cha kumlipa?
Unaonaje umtafutie hata zawadi ndogo ya 10,000?

Mbona Waafrika wachoyo sana?

Eti sina cha kumlipa...onyesha shukrani ili hata akipata nafasi bora zaidi akukumbuke tena
Kabisa, amtumie hata laki moja ya asante ndio uungwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…