Habari wana jf. Pokeeni shukrani zangu kwa kushiriki nami kwenye msiba wa mume wangu mpenzi(may his soul rest in eternal peace). Ahsante kwa jf Arusha wing na wote walionitia moyo na kuniombea. Mungu atawalipa.
Nimefurahi kukuona tena mdada. Mungu wetu muweza wa yote azidi kukutembelea na kukupa mema yote. Tunazidi kukuombea mpendwa wetu upate faraja ya kweli........
Tunamwombea pia husband apumzike kwa amani....Amina
Nimefurahi kukuona tena mdada.
Mungu wetu muweza wa yote azidi kukutembelea na kukupa mema yote.
Tunazidi kukuombea mpendwa wetu upate faraja ya kweli........
Tunamwombea pia husband apumzike kwa amani....Amina