Shukrani kwa wana JF

Shukrani kwa wana JF

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
7,137
Reaction score
4,134
Habari wana JF,

Pokeeni shukrani zangu kwa kushiriki nami kwenye msiba wa mume wangu mpenzi (may his soul rest in eternal peace).

Ahsante kwa JF - Arusha Wing na wote walionitia moyo na kuniombea.

Mungu atawalipa.
 
Kwa shukrani yako ume update mema yote..
Trust in God Utashinda Mapito.
 
pole sana mbona sijaiona hii post ya msiba btw pole sana komaa tu ndio maisha stay with god all the tym buddy..
 
Habari wana jf. Pokeeni shukrani zangu kwa kushiriki nami kwenye msiba wa mume wangu mpenzi(may his soul rest in eternal peace). Ahsante kwa jf Arusha wing na wote walionitia moyo na kuniombea. Mungu atawalipa.

Ameen Ennie.. Endelea kumuomba Mungu katika kipindi hiki..
 
Mungu wa faraja aendelee kukupa faraja na wepesi wa kusahau yaliyopita...duniani sio kwetu bali mbinguni!!
 
Nimefurahi kukuona tena mdada. Mungu wetu muweza wa yote azidi kukutembelea na kukupa mema yote. Tunazidi kukuombea mpendwa wetu upate faraja ya kweli........

Tunamwombea pia husband apumzike kwa amani....Amina
 
ubarikiwe sana Ennie
JF members penda sana wewe mamii!
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi kukuona tena mdada.
Mungu wetu muweza wa yote azidi kukutembelea na kukupa mema yote.
Tunazidi kukuombea mpendwa wetu upate faraja ya kweli........
Tunamwombea pia husband apumzike kwa amani....Amina

Nashukuru mamii.
 
Back
Top Bottom