Shukrani kwa wana JF

Shukrani kwa wana JF

Pole sana dada Ennie, Mungu aendelee kukupa faraja katika kipindi hiki.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada Ennie, Mungu akutie nguvu uweze kusonga mbele kwa kupambana na vikwazo na kuvishinda
 
Wonderful seeing you back on the road.
Pole sana dadaangu kwa masahibu yote.
Naamini Mungu atakusaidia kuziba mabonde yote yaliyoachwa na dharuba hii!
Unapendwa sana na wana Arusha.
 
Wonderful seeing you back on the road.
Pole sana dadaangu kwa masahibu yote.
Naamini Mungu atakusaidia kuziba mabonde yote yaliyoachwa na dharuba hii!
Unapendwa sana na wana Arusha.

Nashukuru sana PakaJimmy. Wana Arusha wamekuwa wema sana kwangu,Mungu awabariki.
 
Habari wana JF,

Pokeeni shukrani zangu kwa kushiriki nami kwenye msiba wa mume wangu mpenzi (may his soul rest in eternal peace).

Ahsante kwa JF - Arusha Wing na wote walionitia moyo na kuniombea.

Mungu atawalipa.
Pole sana
 
Back
Top Bottom