Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Kwanza sifa zote ziende kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi, Alhamdullilah.
Tulidharauliwa sana.
Kipindi naenda kusoma ndugu walikaa kikao wakawa wanasema "unapoteza muda tu, hiyo kozi hailipi."
"Kwanza kuna ajira huko?"
"Mishahara yao midogo sana"
"Kwanza kazi ya kukimbia kimbia uwanjani dakika zote, unachoka sana halafu unalipwa laki4 wakati unaowasimamia wanalipwa mamilioni"
"kazi ya lawama hiyo, kujidharilisha, unaweza hata kupigwa mawe"
Leo hii, nimekuwa mfano wa kuigwa katika ukoo, nimesaidia familia yangu na wadogo zangu ninawasomesha international.
Nyumba yangu kigamboni naikimbiza kwa kasi ya 4G. Kwa mwendo huu January nahamia.
45
🙏🙏