MINESOPOTAMIA
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 166
- 1,006
Kuna wakati katika haya maisha unaweza kukutana na changamoto ikakutesa kwa kipindi kirefu, ila siku moja ukakutana na mtu akakutoa kwenye changamoto hiyo kwa kipindi kifupi sana. Tiririka hapa kuonyesha thamani kwa marafiki ambao wamesimama nasi kuliko hata ndugu.