Khaaa. . .afadhali ulipotezea ile ya rasta.
mi nimempa 30 nikamwambia aangalie cha kuifanyia, alifurah sana kaniambia niende kwao, ila namvutia kwanza kasi.
Ha ha, atakapokuta kaenda nunua unga badala ya kusuka atalia maana za kimasai zinamumaliza kabsa
dah atanidis apoint sana, ila ni mapenz yake achague kip cha muhim rasta au unga
........Kwahiyo humu inaonekana nipo kwenye kiwango cha juu cha uhongaji japokuwa sijafikia viwango vya kuhonga gari na kiwanja, lakini kwa takwimu hizi!! mmhhh!We kijana wewe. . . kwahiyo unataka mwanamke ambae anaangalia kujipamba kwanza kabla ya atakachokula? Siku mkiwa hamna pesa wakati mmeoana anaenda kuchezea 10000 saluni alafu ukirudi nyumbani mnakula ugali na kachumbari.
Kaaazi kweli kweli.
Ndechumia, sina tabia ya kuuliza umri wa members, bt I'm itching to. Bt I won't, ok?