"Shukrani ni zaidi ya asante" siri ya mioyo yenye neema na mioyo isiyojua wema

Nasikitika kujua kuwa mbali na urafiki wangu na wewe kumbe ni daktari ?Nilichelewa kulijua hili ila imeniuma kujua muda ukiwa umeenda ,hongera kwa wema huo Kaka .

Ipande mbegu kwetu tuwe wema tena maana tushaharibiwa na majuto ,,🙏🙏🙏
 
Kaka Mimi ni mdau wa afya mwandamizii senior 😊😆😄 kaka tenda wema nenda zako.

Yaani usingojee shukrani kabisa kaka kikubwa kabisa kabisa ni afya njema TU Kaka jioni hii tukapige pombeee kistaarabuu kaka.

Namwona bro min_me kwa mbali mdogo etu Monetary doctor nimemwambia tukutane mbagaraaaa DAR LIVE 😄
 
Jioni hii Nina ratiba ya kuonana na vijana wangu 😂 😂
 
Umesema Dar live nimetamani nipae nije mjini aisee .
Kweli wema Kwanza .
Mimi leo urabu nitaupata kiwanja kimoja Kiko Songwe kinaitwa DC 1 ,nitajivinjari taratibu kabla sijarudi kwenye kiota changu
 
Umesema Dar live nimetamani nipae nije mjini aisee .
Kweli wema Kwanza .
Mimi leo urabu nitaupata kiwanja kimoja Kiko Songwe kinaitwa DC 1 ,nitajivinjari taratibu kabla sijarudi kwenye kiota changu
Huko sijawai kufika kabisa kabisa 😊

Nimependa neno kiota
 
Ukaribie yako mengi utaenda kuadithia mjini mfano watu sita kushare bia moja ,sharti wakilewa wagombane kila mtu arudi nyumbani kivyake .
Karibu nitafurahi kukuona .
Ndiyo nimejaaliwa kakiota ,vijana wanaita geto .
Kikubwa uzima bro one day ntakaribia huko kaka...Bia moja watu sitaaa 😳😧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…