Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Shukran sana πmin -me
MENEMENE TEKERI NA PERESI
secretarybird
Mwachiluwi
Intelligent businessman
Natafuta Ajira
Mpaji Mungu
Nikifa MkeWangu Asiolewe
Mtoto halali na hela
Half american
mshamba_hachekwi
ndege JOHN
Kalpana
Nikilewa mniache
@
List ni ndeeeefuuuu sanaaa mtaongezea na wenginee
Upo powaa mdogo angu.Shukran sana π
Kaka nakukubariii upo sahihi kabisaa kaka tenda wema nenda zako kakaKwa kweli moyo usio na shukrani hukausha neema zote, hivyo tumshukuru yeyote anayetutendea wema.
Kweriiiii π π kaka tafuta mmoja anae kupenda fugaa...nipo hapa nyumbani alone..Dah Kaka wewe una familia wahi tu .
Sisi wengine tunaolala Kama mwichi bado Sana kuondoka ni mpaka baridi la KUS lianze kuingia mbavuni
Shukrani mkuu, π ilinisisimua sana mkuu , tuwe na moyo wa shukrani sawa mkuu.Shukrani kwa ujumbe
NotedπShukrani mkuu, π ilinisisimua sana mkuu , tuwe na moyo wa shukrani sawa mkuu.
Yap Mungu mwema kabisaUpo powaa mdogo angu.
Amina πNotedπ
Upo still town Mimi nipo na pika pika Huku nashushia konyagiiii ndogo hapa nipo alone home πYap Mungu mwema kabisa
In deed.Dokta unaonekana ni mtu mzuri
Hakika mkuu πKaka nakukubariii upo sahihi kabisaa kaka tenda wema nenda zako kaka