Shukrani: Nimekutana Na Mkono Wa Mungu 'Live!

Shukrani: Nimekutana Na Mkono Wa Mungu 'Live!

Pole sana jimmyP kwa kufiwa na karibu tena jamvini.
 
Ahsante sana PJ kwa maneno yako mazito yaliyojaa hekima na busara za hali ya juu. Pole sana PJ.
 
Tupo pamoja PJ. Mungu aendelee kuwapa faraja.
 
Pamoja sana PJ......Karibu kijiweni....life has to go on and on.......!
 
pole sana ma br Mungu azidi kukutia nguvu
 
Pole sana hiyo ni njia yetu sote kila mmoja ataipita kinachotakiwa ni subira na kumuumbea dua aliyetangulia
 
Pole sana ndg yetu. Faraja za Bwana ziendelee kuwa juu yako Yeye ni mwema siku zote.
 
Mkuu pole sana ni vigumu kusahau lakini mwombe Mungu tupo pamoja nawe katika kipindi hiki kigumu.
 
NDUGU, JINA LA BWANA LIBARIKIWE KATIKA YOTE YALIYO MAPENZI YAKE, KARIBU TENA.

NENO LA MUNGU NI TAA NA MWANGAZA LITUMULIKIA KIA TUPITAPO. HALELUYA.

KWA PAMOJA TUTAFAKARI WIMBO HUU.

NCHI NZURI YAMETAMETA
1. Nchi nzuri yametameta
huonekana kule mbali
naye Yesu hutuongoza
tukafike na sisi huko
si mbali karibu
tutaimba na sisi huko X 2

2. Kule tutawaona wengi
wapendwao na Bwana Yesu
tutashirikiana nao
itakuwa furaha kubwa
si mbali….

3. Tutamwona na Bwana wetu
Yesu Kristo mwokozi wetu
tutashangilia daima
tuna hamu ya kwenda kwetu si mbali….

pole sana mkuu............... mapenzi ya Mungu hayo........
 
pole sana mkuu mungu ni mwema ktk kila jambo ndo mana umeuona mkono wake kwani akukuacha wala akukupungukia atabaki kuwa mwaminifu kwakwo karibu tena jamvini na mshikamano huu uendelee na kudumu kwa wana jf wote daima
 
Pamodja Kaka, na pole sana nadhani yote ni mapenzi yake yule aliyetupeleka.

Ugonile lakini?,



[ame]http://www.youtube.com/watch?v=qczUC-nGLe8[/ame]
 
It was a time for you to exercise that a friend in need is a friend indeed, God loves you. Welcome back PJ together we can.

Sometimes is sorrow to fail to join your fellow's misfortune but we have to agree with our family situations, is my hope that you will understand what i am talking about.
 
Tutabishana sana kwa hoja ..lakini wote ni ndugu, welcome back jamvini.TUPO PAMOJA.
 
Ubarikiwe mkuu,pata nguvu mpya sahau yaliyopita anza kujenga Taifa Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
 
Back
Top Bottom