NDUGU, JINA LA BWANA LIBARIKIWE KATIKA YOTE YALIYO MAPENZI YAKE, KARIBU TENA.
NENO LA MUNGU NI TAA NA MWANGAZA LITUMULIKIA KIA TUPITAPO. HALELUYA.
KWA PAMOJA TUTAFAKARI WIMBO HUU.
NCHI NZURI YAMETAMETA
1. Nchi nzuri yametameta
huonekana kule mbali
naye Yesu hutuongoza
tukafike na sisi huko
si mbali karibu
tutaimba na sisi huko X 2
2. Kule tutawaona wengi
wapendwao na Bwana Yesu
tutashirikiana nao
itakuwa furaha kubwa
si mbali
.
3. Tutamwona na Bwana wetu
Yesu Kristo mwokozi wetu
tutashangilia daima
tuna hamu ya kwenda kwetu si mbali
.
pole sana mkuu............... mapenzi ya Mungu hayo........