TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Sasa ni wakati sahihi wa Humphrey Polepole kutufichulia siri waliko kina Ben Saanane, Mdude_Nyagali na wengine waliopotezwa na utawala dhalimu wa CCM
Hii ya mdude ni juzi huenda hajui labda saa 8Sasa ni wakati sahihi wa Humphrey Polepole kutufichulia siri waliko kina Ben Saanane, Mdude_Nyagali na wengine waliopotezwa na utawala dhalimu wa CCM
Atakuwa anajua, si alikuwepo kwenye mfumo?Hii ya mdude ni juzi huenda hajui labda saa 8
TrueAtakuwa anajua, si alikuwepo kwenye mfumo?
Natumia kinyesi kikavu cha ng'ombeAmesema gas tunapigwa, yeye amesha acha kutumia Taifa gas, wewe je?
We really need to hear from his sideYes, he'll also have to explain to us on the following:
1. What happened to Dr Mgimwa when he declined to whisk away state funds within TEGETA-ESCROW-ACCOUNT.
2. Who hired vagabonds to attack Padre Mushi at Zanzibar to a point of grievously wounding him, a near death experience.
3. Who sent Ramadhani to abduct and torture Dr Ulimboka.
No, these we need to hear from Jakaya and acolytes.We really need to hear from his side
Who will bell the cat?No, these we need to hear from Jakaya and acolytes.
Time will be the Cat.Who will bell the cat?
Goma linageuzwa taratibu hata kina saa 8 tunaweza kuambiwa wanamtandao ndio waliwapotezaSasa ni wakati sahihi wa Humphrey Polepole kutufichulia siri waliko kina Ben Saanane, Mdude_Nyagali na wengine waliopotezwa na utawala dhalimu wa CCM