SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Hommie nani alikudanganya na wewe kuwa lengo kuu la ndoa ni kuzaliana?


Hommie na wewe umesoma wapi na mawani yako ya mbao paliposema kuwa hilo ni lengo KUU?

Ila ni mojawapo ya malengo...kuanzisha familia, yenye kuwa na watoto

usitake nikaibue ile sred ya kwa nini watu wanaoa wakiwa wameshawajaza vimimba kabisa...nikailete?

hahaha tusimletee msongo wa mawaza bwana harusi mpya ila ni angalizo tu..come 13/2/2011, thats another milestone baada ya tare 24/4 siku 100 baada ya ndoa.

tuendelee
 
baelezee kiongozi!na kwakweli mjadala huu utaibuka upyaaaaaaa

Imeandikwa utaachana na baba na mama yako, utaambatana na mkeo nanyi wawili mtakuwa kitu kimoja. Umoja wenu ukiunganishwa na makubaliano na mipango yenu kisha MUNGU akaweka KIBALI ndipo watoto hutokezea.

Usisahau: DUNIA NA VYOTE VIIJAZAVYO NI MPANGO WA MUNGU!
 
Back
Top Bottom