SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

mkulu kwa hesabu za haraka haraka za makisio itakuwa tarehe 24/5 mwaka huu!

(Mbona hujamwombea na vikid bana?)
kwani mi nataka watoto?πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha! Basic need siyo? Utafia kiunoni, wasikudanganye kiongozi!
si ndo hapo!mimi everyday ni valuu,na sio hilo linalofikiriwa na kaizer na askofu,lol
 
Hommie nani alikudanganya na wewe kuwa lengo kuu la ndoa ni kuzaliana?


Hommie na wewe umesoma wapi na mawani yako ya mbao paliposema kuwa hilo ni lengo KUU?

Ila ni mojawapo ya malengo...kuanzisha familia, yenye kuwa na watoto

usitake nikaibue ile sred ya kwa nini watu wanaoa wakiwa wameshawajaza vimimba kabisa...nikailete?

hahaha tusimletee msongo wa mawaza bwana harusi mpya ila ni angalizo tu..come 13/2/2011, thats another milestone baada ya tare 24/4 siku 100 baada ya ndoa.

tuendelee
 
baelezee kiongozi!na kwakweli mjadala huu utaibuka upyaaaaaaa

Imeandikwa utaachana na baba na mama yako, utaambatana na mkeo nanyi wawili mtakuwa kitu kimoja. Umoja wenu ukiunganishwa na makubaliano na mipango yenu kisha MUNGU akaweka KIBALI ndipo watoto hutokezea.

Usisahau: DUNIA NA VYOTE VIIJAZAVYO NI MPANGO WA MUNGU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…