SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

all ze best Mkuu!

Tunawatakieni maisha marefu yenye furaha na upendo utawale katikati yenu!

From Mr & Mrs Masikini Jeuri na MJ_jr
Singida.
 
all ze best Mkuu!

Tunawatakieni maisha marefu yenye furaha na upendo utawale katikati yenu!

From Mr & Mrs Masikini Jeuri na MJ_jr
Singida.
ahsanteni kwa pamoja!SHUKRANI ZA PEKEE ZAIDI
 
watoto ni ishu ya kawaida sana katika familia,NA PIA NI MAAJAALIWA!me i dn't want babiez for now!lol....at least four yrs later KAMA ITAWEZEKANA

....taaraatiibu.....hommy! titaliongelea vizuri keshokutwa ukiwa na VYASKA 15 hivi kwa medula obulongata........!
 

Surely is .... hiyo nilijaribu kufanya siku moja bila kujua inamaanisha nini na nilishangaa sana kuona vidole vya ndoa havifunguki kwa kila jitihadi niliyofanya, basi nikaacha kama ilivyo, lakini leo umenipa maana nzuri kabisa - again Thanx mkuu- ama kweli kuishi ni kujifunza na JF ni darasa kuuuuuuuuuubwa!

..................................
Amani yetu inatumiwa vibaya
 
Hongera mkuu, kwa kuukataa ukapela kama sisi kaka zako,karibu kwenye maisha ya raha mstarehe,kilichobaki itumie vizuri 6*6 na hatimae tuone mafanikio yake.Hongera na Mungu awe nawe.
Mke wako atakuwa kama mzabibu wenye kuzaa matunda ndani ya nyumba yako
 

Karibu Mkuu
 

πŸ˜€πŸ˜€
 
una maana gani?πŸ˜€πŸ˜€
 
Hongera kwa kuoa mwanaJF..Maisha mema ya ndoa Geoff!!
ahsante kwa baraka!....wengine wananikatisha tamaa.nashindwa kuelewa kwamba kama ndoa ni chungu kiasi hicho inakuwaje watu hawawatupii virago wake zao?πŸ˜€
 
ahsante kwa baraka!....wengine wananikatisha tamaa.nashindwa kuelewa kwamba kama ndoa ni chungu kiasi hicho inakuwaje watu hawawatupii virago wake zao?πŸ˜€

Wala usikate tamaa, ndoa haina formula. Tena wewe umeoa tu, usiwaze kabisa hayo mambo, muhimu ni kufurahia mibaraka yote ya ndoa na kuridhika na mwenzi wako..
Nitakujoin mapema 2011 panapo majaliwa..Changamoto hazikosekani kwa kusikia habari toka kwa watu ila pia raha yake imo ndo mana hawatupi hivyo virago!!.. All the best my friend!..
 
ahsante kwa baraka!....wengine wananikatisha tamaa.nashindwa kuelewa kwamba kama ndoa ni chungu kiasi hicho inakuwaje watu hawawatupii virago wake zao?πŸ˜€

.........Uamuzi ulioufanya wa maana sana Geoff, usiwasikilize hao wanaokukatisha tamaa.
Hata mie mwenyewe nilivyotaka kuolewa marafiki zangu walinisema na kunitisha, kwamba naolewa bado mdogo.......lakini mimi umri wangu huu wa miaka 25 najiona mtu mzima kabisaaa hivyo sikutishika, japo nina miezi 2 sasa kwenye ndoa lakini ndoa tamu bwana asikwambie mtu.
Maisha ya kutanga tanga kwenye mapenzi wala hayapendezi, uamuzi ulioufanya ni wa maana sana na hongera sana.
 
Congratz Mr G
Mungu akulindeni..
Kamata hiyo Lets love lead the way-Spice girls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…