SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Afu wewe! ole wako unitende,nitakusemelea kwa my Dady Mwita.

BABA hana la kusema mbele ya MUME! Ukiolewa mmeo ndio anakuwa mtoa order wako mkuu. Baba akikuhitaji lazima aombe ruhusa kwangu!
 
Wale sita naowafahamu ushawamwaga wote?

Mpwa nilisha wamwaga si unajua wapo wakusuuza koo na wapo wa kuolewa.
Nikishindwa kabisa nafumua Bar nachomoka na Eliza tu kwani kuna ubaya naweka kaunda home.
 
".....atakayenikana mbele za watu nami ntamkana mbele ya baba yangu........."
Shaurilo!
 
BABA hana la kusema mbele ya MUME! Ukiolewa mmeo ndio anakuwa mtoa order wako mkuu. Baba akikuhitaji lazima aombe ruhusa kwangu!
Hivi unawajua watu wa Musoma mapanga shaaaaa au unawasikia tuu!
you better be careful
 
sasa hivi raha!baa tunakunywa tu na kula bites.CHAKULA NYUMBANIIIII!halafu msosi ndo vile kinyumbani nyumbani:
wali maharagwe,wali nyama,ugali samaki,ugali mboga za majani.juisi na kila kitu vimetengwa hapo mezani!unakula pale unalala unarudi baa

Eh... Makubwa!! Unarudi Baa Tena?
 
Mi najua kufunga ni kujinyima kile kitu unachokipenda sana. Mi nimefunga kuvaa jeans. Bia kama kawa, KUDUMISHA MILA mwendo mdundo.
 
".....atakayenikana mbele za watu nami ntamkana mbele ya baba yangu........."
Shaurilo!
naona umeiva kwel kwel kwenye NENO!...πŸ˜€πŸ˜€
tatizo jamaa anakulostisha
 
Sita? anawatest wote? Kijana anahitaji maombi.

Charity, mambo? hivi na wewe itabidi uwe shemeji kama alivokuwa ZD eeh? mwisho wa kutest ni wangapi vile? (baseline)
 
Hivi unawajua watu wa Musoma mapanga shaaaaa au unawasikia tuu!
you better be careful

mwambie arudishe upanga wake alani

anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga.πŸ˜€
halafu hivi dini imefikaga huko mkoa wa mara kweli?
 
mwambie arudishe upanga wake alani

anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga.πŸ˜€
halafu hivi dini imefikaga huko mkoa wa mara kweli?
NDO INAINGIA SASA!...wao sasa hivi kiratiba wako mwaka 1880
 
huku ndiko michongo ilipolala!utakaa na waifu 24/7 mtakula nini?mtakula I LOVE YOU?

Kijana hapo ndipo unaponifurahisha. Wafanyakazi TBL/SBL watapataje mishahara?
Je kina Eliza keep change watazipataje?
Nani atadumisha mila na kina Eliza kama tutakaa nyumbani 24/7?
 
Kijana hapo ndipo unaponifurahisha. Wafanyakazi TBL/SBL watapataje mishahara?
Je kina Eliza keep change watazipataje?
Nani atadumisha mila na kina Eliza kama tutakaa nyumbani 24/7?
....NITAMFAHAMIA WAPI x-pin,kaizer,fidel,de novo et al?hawa wote wanapatikana BAA 24/7.na hapa ndipo michongo ya plot,magari,mila tukutuku et al inapojadiliwa
 
Thanks Mkuu... cha maana zaidi ni kuboresha mawazo yetu ili kuleta positive change ndani ya forum na jamii kwa ujumla!!! jukwaa hili ni one of happiest forum ndani ya JF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…