SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

kaka we acha tu lazima nikushirikishe hivi ulifanikiwa kupata p..cha yake? mi ninayo hatimaye nilifanikiwa baada ya zoezi zito kilichobaki ni hiyo namba tu. eliza atafurahi huyo!

Ngoja nicheki na mkuu Kaizer. Yule yuko sharp kawa wembe.
 
kaka we acha tu lazima nikushirikishe hivi ulifanikiwa kupata p..cha yake? mi ninayo hatimaye nilifanikiwa baada ya zoezi zito kilichobaki ni hiyo namba tu. eliza atafurahi huyo!
namba alipewa kaizer🙂
 
inakuwaje mpaka unanukuu post yangu bila kuonyesha kuwa unajali???????????????

hebu onyesha kwanza ndio nikujibu ....................... vinginevyo .......................

Mama yangu! Ntakoma. Naona ushaniweka kwenye ignore list yako!
Nimekugongea senksi kuonyesha kujali kwangu. Unaonaje hapo?
 
naungana na wazo la baba-askofu kwamba we meet AFTER KWARESMA and all that!
 
Hongera sana kijana kwa uamuzi mzito uliochukua na sisi tunao jiexpress tutafuata nyao zako 2012 wakuu karibuni sana naomba Lisa unipigie pigie debe kwa huyo mtoto maana mpaka sasa bado sijapata kitu cha kumelemeta nacho 2012.
 
hehehe!nafikiri hapo kila mtu atakuwa keshaoa na kuolewa😀
 
naungana na wazo la baba-askofu kwamba we meet AFTER KWARESMA and all that!

Mi kama kawaida naomba walau kwa sasa nisiungane na hilo wzo la after kwaresima. baba askofu si keshasema atakunywa Divai?

lakini of course nikiwa convinced sina tatizo mpwa!

naona muzee ya hnymn!
 
sasa hivi raha!baa tunakunywa tu na kula bites.CHAKULA NYUMBANIIIII!halafu msosi ndo vile kinyumbani nyumbani:
wali maharagwe,wali nyama,ugali samaki,ugali mboga za majani.juisi na kila kitu vimetengwa hapo mezani!unakula pale unalala unarudi baa
 
Mama yangu! Ntakoma. Naona ushaniweka kwenye ignore list yako!
Nimekugongea senksi kuonyesha kujali kwangu. Unaonaje hapo?

usijali mkuu, mi nilishatangaza kuwa siwezi kuwa na ignore list hapa jf, kwa hiyo usipate presha..........................

unajua infact sijachengi behavia na tena hii yangu ni anichenjabo............nimewapa bht na pacha wake pearl likizo. walisema nataka kuwatoa roho ................

halafu, hivi uko serius kuwa umesahau kuwa HII NI KWARESMA?????????????
 
Hongera sana kijana kwa uamuzi mzito uliochukua na sisi tunao jiexpress tutafuata nyao zako 2012 wakuu karibuni sana naomba Lisa unipigie pigie debe kwa huyo mtoto maana mpaka sasa bado sijapata kitu cha kumelemeta nacho 2012.

Wale sita naowafahamu ushawamwaga wote?
 
usijali mkuu, mi nilishatangaza kuwa siwezi kuwa na ignore list hapa jf, kwa hiyo usipate presha..........................

unajua infact sijachengi behavia na tena hii yangu ni anichenjabo............nimewapa bht na pacha wake pearl likizo. walisema nataka kuwatoa roho ................

halafu, hivi uko serius kuwa umesahau kuwa HII NI KWARESMA?????????????

Afu haka ka bht-mamushka kangu sijui kamepotelea wapi? Ulikuwa unanifurahisha ulivokuwa unawapelekesha. Nilikuwa nawafuatilieni kama guest. Nilitamani nisign in ili nikugongee senksi lakini nikaendelea na mpango wangu wa kukaa kimya kwa muda. Mara ghafla vuuup ukatangaza wokovu. Dah!

Hivi kwaresma yatupasa nini?
 
sasa hivi raha!baa tunakunywa tu na kula bites.CHAKULA NYUMBANIIIII!halafu msosi ndo vile kinyumbani nyumbani:
wali maharagwe,wali nyama,ugali samaki,ugali mboga za majani.juisi na kila kitu vimetengwa hapo mezani!unakula pale unalala unarudi baa

Afu ukiniambia unaacha kudumisha mila, ntakuweka kwenye IGNORE LIST yangu!
 
Afu haka ka bht-mamushka kangu sijui kamepotelea wapi? Ulikuwa unanifurahisha ulivokuwa unawapelekesha. Nilikuwa nawafuatilieni kama guest. Nilitamani nisign in ili nikugongee senksi lakini nikaendelea na mpango wangu wa kukaa kimya kwa muda. Mara ghafla vuuup ukatangaza wokovu. Dah!

Hivi kwaresma yatupasa nini?

wokovu wenyewe ni wa muda tu, baada ya kwaresma narudi kwenye fani................

wanasemaga kwaresma tufunge, sasa mimi baada ya kushindwa kufunga msosi, nimeamua kufunga kusema ile neno natoka mwakemwake.............. ndokama unavoona hivyo.................
 
Back
Top Bottom