Special thanks kwa wana JF wa Arusha, nimefurahia kuwepo Arusha though muda ulikua ni mfupi nimeenjoy kuwa part ya JF.
Special thanks.: Arushaone Filipo Erickb52 na niliowasiliana nao sweetlady na Mr Rocky na wengineo, nawapenda sana sana, kwa wale tulioshindwa ku-meet hopefully next time. . .salamu kutoka kwa Anonymous kwa wale waliomuona.
Hao wote uliowataja wana kesi ya kujibu.
haya wamesikia wahusika wa AR
karibu WP dear. tarehe 26. mia
Special thanks kwa wana JF wa Arusha, nimefurahia kuwepo Arusha though muda ulikua ni mfupi nimeenjoy kuwa part ya JF.
Special thanks.: Arushaone Filipo Erickb52 na niliowasiliana nao sweetlady na Mr Rocky na wengineo, nawapenda sana sana, kwa wale tulioshindwa ku-meet hopefully next time. . .salamu kutoka kwa Anonymous kwa wale waliomuona.
Muito obrigado b52. . .pamoja sana