Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Niliishauri timu nzima ya Cheka Plus dhidi ya maboresho yenye tija ambayo yalikuwa muhimu kuyatia maanani. Nimefurahi kwa kuwa 70% ya mawazo yangu kuhusu kituo hicho yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo Cheka Plus kuibua vipaji zaidi hasa hasa muziki, naona sasa wasanii chipukizi wanapanda kwenye stage za Cheka Tu na kuperform, maua mengi mengi yakufikie Mr Coy, hakika unaupiga mwingi
Pia nimeanza kuona maandalizi ya series za Mweusi Family wakiwemo Steve Mweusi na Ndaro, hakika hapa mtatuvuta wengi sana. Pongezi za dhati ziifikie timu nzima ya Cheka Plus pamoja na Cheka Tu. Endeleeni kuibua wasanii chipukizi, sio tu muziki wa jukwaani, bali pokeeni na official videos zao ili nao waende viral. Kwa pamoja tunaweza kama tutashikamana kwa moyo mmoja. Niseme tu Cheka Plus ni zaidi ya media zote za burudani hapa nchini