eeh upo ww mambo?wknd?duh miss u pple
masaki babangu nakusalimia unachuna?haya jmosi nakuacha
kama hukuwa na kazi hukuja tu kwakweli jutia nafsi yako,but kama ulikuwa na job ya ku do,isamehe nafsi yako
mm nilisajest elfu 5 ndio niliyoandika kwenye thred,baada ya kukutana watu wakajikuta wanagushwa zaidi so ikapanda,au sio masaki n original membaz?
Kwa kifupi kuku tuliokula pale walikuwa watamu sana (courtesy of Pearl, thanks Pearl)! Geoff next time jitahidi utie timu mzee!! π
u hve to be fast too go as the wind blows dear
@masaki
mkuu acha kututamanisha tupe maafikio ya kikao
Pearl naona kuna wapiga debe wazuri hamkuwashirikisha kingetoka kiasi kikubwa sana.
Mi hapa nilikuwa sijui kama kuna function hiyo any way nafunga kunywa beer wiki nzima kwa ajili ya kuchangia.
Ukweli ni kwamba kikao kilikuwa na mambo mengine mazuri zaidi kuliko hata lengo lenyewe! Kwa hiyo mafanikia ya kikao mpaka sasa si haba! Michango bado tunaendelea kupokea. Unaweza kumtumia Peal PM meseji kisha logistics za kupata hizo pesa ziakendelea!
''Deadline'' yetu ya kukusanya michango hii ni Ijumaa ya wiki hii. Wajumbe naomba mnikosoe kama nimekosea hapo! π

Ni kina nani hao? At least nimeshawajua Masaki, Pearl na Jeni. Wengine ni kina nani hao? I want to put my hands together for you guys!wala huhakosea my dear ww si ndo spika wa original membaz umesahau?
mkuu mchango wangu niliuwakilisha same day kwa pearl na alinipigia wakati anakabizi na akawakilisha salamu zangu akiwakikaoni nampa pongezi dada yetu kwa utendaji nzuri
Ni kina nani hao? At least nimeshawajua Masaki, Pearl na Jeni. Wengine ni kina nani hao? I want to put my hands together for you guys!