mkuu mchango wangu niliuwakilisha same day kwa pearl na alinipigia wakati anakabizi na akawakilisha salamu zangu akiwakikaoni nampa pongezi dada yetu kwa utendaji nzuri
thx dia wanajua mchango ulifika anywei next tyme usikose maana kuna mambo mazuri mengi tulipanga so itakapo tokea tour ya kusafiri unakaribishwa
Ooops my bad! Sikujua kama ni wewe mkuu, nisamehe bure! Nakumbuka wewe ndiye ulikuwa memba wa kwanza kutoa mchango kupitia njia ya mtandao! Ubarikiwe sana!
yani juu ya next meeting uitaji kupiga debe my dia labda itokee tu ila naomba mpange kikao kingine tuweze kukutana tena rasmi mwaka huu
ur toking about mwaka huu?tunazungumzia about kila mwezi kikao tunakutana na kuna michango ili inapotokea tatizo la membaz yyte kati ya wale tuliochanga na wengine watakao jiunga tusaidiane,iwe ni harusi,msiba etc
Kumbe eneo mlilo kutana wanywaji waliogopa beer gharama sana pale tafuteni eneo linalo uza beer 1300-1400 vijana watamiminika kwa wingi.

nani kakwambia hakukuwa na gharama as u think,ask waliokuja mm memba pale so nimewafanya wote tuliokutana kuwa membaz n so uduma kwetu zikawa cheap

if ur serious tutakutana coz hata this wiki tunakutana
Hahaha! Inaelekea Pearl we mwanachama mwenzangu katika MILA. Unatumia bia gani wewe? Zaidi ya hapo we ni mwanachama wa kanisa/msikiti gani? (Sore off topic, sitarudia tena)
unajua ni lazima muwe fair and balanced na maeneo ya kukutana!Siyo kweli mkuu. Salender Bridge Club bia zinauzwa bei ya kawaida tu, kama kwenye baa zingine. Sidhani kama bia moja inazidi Shs. 1,500.
Ila mapendekezo ya sehemu nyingine ya kukutana pia yanakaribishwa!