Shukrani

Kasugugu

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
214
Reaction score
98
Napenda kutoa shukrani za dhati kwa watu wote walonishauri kipindi nlipohtaji kujua kuhusu afya yangu ya uzazi na mke wangu alikua hajashika mimba kwa mda mrefu, mke wangu ameshika ujauzito mwezi huu (scientifically confirmed) nashkuru pia wale wote walo ni-pm! Endeleeni kutusaidia kimawazo na hata matibabu......MBARIKIWE SANA ,WAUNGWANA
 
Safii sana kidume...haya ndiyo mambo..ukishauriwa fuata ushauri..ukifanikiwa tupe feedback.....Mungu awape amani...
 
Safii sana kidume...haya ndiyo mambo..ukishauriwa fuata ushauri..ukifanikiwa tupe feedback.....Mungu awape amani...

Shukrani brother,.. Mungu awazidishie hekima na maarifa ya kujua mengi pia na moyo ya kutushauri tunapokwama katka masuala la kiafya #Viva JFdoctors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…