Kasugugu
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 214
- 98
Napenda kutoa shukrani za dhati kwa watu wote walonishauri kipindi nlipohtaji kujua kuhusu afya yangu ya uzazi na mke wangu alikua hajashika mimba kwa mda mrefu, mke wangu ameshika ujauzito mwezi huu (scientifically confirmed) nashkuru pia wale wote walo ni-pm! Endeleeni kutusaidia kimawazo na hata matibabu......MBARIKIWE SANA ,WAUNGWANA