Shukurani kwa jf na wadau wote.

Shukurani kwa jf na wadau wote.

aisee embu iweke vizuri yaani umepata mke JF? Kuna watu wanasemaga kwamba mahusiano ya mtandaoni si ya ukweli. Embu nitaarifu manaka na mimi natafuta sana mtaani nakutana sijapata labda na mimi nihamie huku.
 
Ila ulikuwa serious sana na hili mungu atakuongoza
 
Jamani napenda kutowa shukrani zangu zote kwa JF na wadau wake wote kwani nilikuwa natafuta MKE nashukuru nimempata,JF ipo juu na wadau wote tupo juu.

usisahau kutupa kadi za michango pamoja na za mialiko ya harusi yenu.all the best ktk kuelekea kwenye muunganiko huo wa hiyari lakini wenye purukushani nyingi.
 
aisee embu iweke vizuri yaani umepata mke JF? Kuna watu wanasemaga kwamba mahusiano ya mtandaoni si ya ukweli. Embu nitaarifu manaka na mimi natafuta sana mtaani nakutana sijapata labda na mimi nihamie huku.

hamia airtel mkuu,huku hawakati unatuma elfu 10 na unapokea hiyo hiyo 10.kazi kwako.
 
Congratulations. Mungu awabariki mzae matunda mema yalyo ya kheri.
 
Back
Top Bottom