kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Halla kwa wanajamii wote, huku tukiendelea kuenjoy long weekend ebu tujadili kidogo.
Kama kawaida napenda muziki mzuri pasipo kuwa na ushabiki au team maandazi. WCB nawakubali sana, kumejaa talent za kutosha kina Mavoko , Ray, Harmo na mzee wao Naseeb.
Nisiwe mnafiki sijawahi kumwelewa Lavalava na Queen Darlin, pia kwenye upande wa Ally K namwelewa sana pamoja na wasanii wengine.
Nije kwenye hoja ya msingi, kuna hizi nyimbo mbili zimetoka hivi karibuni, Shulala ya Harmonize na Makulusa ya Rayvanny. Kwanza kabla ya kuzipambanisha, nionavyo mimi Rayvanny ana talent zaidi ya Harmonize hilo halina ubishi.
Nije kwenye ngoma zao sasa, Rayvanny katoa ngoma mbovu sana sema video imemmbust kiasi pia promo nyingi sana amepata kutoka kwa wasafi bila hivyo ingebuma, nyimbo ya Harmo ingepata hii promo ya Rayvanny ingekuwa mbali sana, Shulala nzuri pia inavutia kusikiliza hata zaidi ya mara moja video pia nzuri.
Ray kubali hapa umeingia cha kike sema mmelitambua hilo ndio maana mnaipa promo sana.
Kwako wewe ipi ngoma nzuri kati ya Shulala na Makulusa ?