Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unadhani jkt ya sasa inaweza kuwa kama ya enzi hizo?? Sasa hivi mambo yote ni dot.com na sidhani kama watawanyimaq uwezekano wa kutumia laptops zao angalau hata saa moja kwa siku na hapo ni mbali na kuwa na simu zenye full internet!Nawaonea huruma sana watakao enda bulombora na mafinga iringa kuna shuruba ya kufa mtu.....
jangwani?, zanaki?, kisutu?- au makamanda hawataki kuburudika?.
tafuta mawe ya kutosha ya kuzuia sumu za nyoka maana huko cobra ni kama mijusi tu kwa jinsi walivyo wengiWakuu nimechaguliwa kambi ya Bulombora Kigoma.Kwa yoyote anayejua hali ilivyo huko anijuze tafadhali.Shukran