Shule aliyopangiwa haipendi, anaweza pata uhamisho?

kipulumus

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Habari wana JF, naomba msaada nifanyaje, dogo alichagua comb ya cbg ila shule aliyo pangiwa ndo wana anza mwaka huu kuchukua kombi hiyo.

Dogo hataki shule hiyo anaka aende Loleza, dogo ni wakike, naomba msaada namna ya kumwamisha, natumaini nitasaidiwa.
 

mbona haueleweki kichwa cha habari na maudhui vipo tofauti kabisa ni wewe au dogo mbona unachanganya watu wewe kwani ukisema wewe unakufa ok kama sio wewe mbna umejihusisha ? Jieleze vizuri
 
Wewee asikuongopee mtu shule nzuri ni kibaha sec au pugu sec ndio kuna walimu wazoefu wa iyo mchepuo pia kuna mahabara najua tunashida ya mahafisa ugani, kuhusu kumwahamisha kama kafaulu vizuri mbona aina tabuu ila kama kavulunda! Pia usimpereke loleza kwanza ni kati ya mji kielimu aifai
 
Nenda kwa afisa elimu mkoa mweleze sababu ya kuomba uhamisho (ila iwe strong reason) atakusaidia hata mm nilifanikiwa kupatA uhamisho bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…