Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana jf naomba msaada nifanya je ? Dogo alichagua comb ya cbg ila shule aliyo pangiwa ndo wana anza mwaka huu kuchukua kombi hiyo ,dogo hataki shule hiyo anaka aende loleza ,dogo ni wakike ,naomba msaada namna ya kumwamisha,natumaini nita saidiwa.