Ni usawa tu, kama kuna Kanisa karibu, sioni ugumu wa kuwajengea msikiti hata mdogo tu waweze kuabudu!
Miaka yote huwa wanapewa chumba cha kuswalia kama ambavyo wasabato wanavyopewa chumba cha kuabudia hapo ndani ya shule.Mi nadhani tusifikirie vibaya, nadhani ni kuwa pale shule kuna vijana wa Kiislam, sasa wao wakaswali wapi jamani? Kuna ubaya gani kuomba watengewe sehemu ya kufanyia ibada. Tusilichulie hili swala ki udini udini tu...
hili ni suala dogo ila isipochukuliwa kwa uangalifu litaleta machafuko
machafuko gani unayoyatajja wewe tena wakati wa2 wamesharudishwa makwao
Waislaam wanataka mskiti, wapewe, Bila ya hivyo hapatoshi.
good
JK at work
Sure!Yaani,wamenshtua sana,wanapaswa kuwahamisha shule wote,hao form 6 wakafanyie pepa kwingne!
good
JK at work