Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Status
Not open for further replies.
elimu na ibada vinaenda pamoja,ndio maana shule za seminari zinafanya vizuri kwa kua wana abudu kwa sana!sasa vijana wa kiislam kama hawana mahali pa kuabudia itakuajee? Watakua wavuta bangi na elimu

na kwenye shule za kiislam nako wajenge makanisa????
 
Ni hii hapa!
ndanda-dorm.jpg

ndanda3.jpg
 
Kudai uswa ni jambo la muhimu sana.

Unavyosomeka wewe unaweza kudai nyumbani kwako haki ya ubaba iwe kwa zamu, leo wewe, wiki ijayo zamu ya mwanao mkubwa, baada ya wiki jirani yako umezeeka kweli we mzee
 
Kutoka mkoani Mtwara wilayani Masasi taarifa za hivi punde zimemkariri mkuu wa sekondari ya Ndanda (aliwahi kusoma rais Benjamin Mkapa) akifunga shule hiyo kutokana na mgogoro wa kidini.

Sababu ambayo tumefanikiwa kuinasa ni kuwa eti waislamu wa shule hiyo hawajafurahishwa na kitendo cha Kaka mkuu na msaidizi wake wote kuwa wakristu( haijajulikana kama wamechaguliwa au kuteuliwa). Hili ni jaribio lingine la utangamano na amani ya taifa hili.

Kikwete (unatuhumiwa kupandikiza udini) upo hapo? Haya TBC watalificha na hili leo?
hawana akili hawa wala ubwabwa wao kila kitu wanalalamika,mbona rais wa nchi muislam,makamu wake muislam,IGP muislam,waziri wa fedha muislam...hakuna mkristo anayelalamika...hawa jamaa ni vilaza zsana..damn
 
Kutoka mkoani Mtwara wilayani Masasi taarifa za hivi punde zimemkariri mkuu wa sekondari ya Ndanda (aliwahi kusoma rais Benjamin Mkapa) akifunga shule hiyo kutokana na mgogoro wa kidini.

Sababu ambayo tumefanikiwa kuinasa ni kuwa eti waislamu wa shule hiyo hawajafurahishwa na kitendo cha Kaka mkuu na msaidizi wake wote kuwa wakristu( haijajulikana kama wamechaguliwa au kuteuliwa). Hili ni jaribio lingine la utangamano na amani ya taifa hili.

Kikwete (unatuhumiwa kupandikiza udini) upo hapo? Haya TBC watalificha na hili leo?
Sarakasi zingine hizo za udini tutafikia wapi???????? Hakuna kiongozi wa kukemea huo uozo wa fikra potofu!!! Watanzania turudi kuishi kwa uzuri kama zamani???????
 
Naamini ni ya serikali, ni kati ya shule kongwe kabisa nchini, jamii ya Ilboru, Mazengo, Kilakala etc! aidha nadhani ilikuwa ya kanisa na ilitaifishwa enzi za Siasa NI kILIMO!

Asante umenijuza, ngoja tusubiri watuambie kama viranja kuwa wakristo kunawaathiri nini waislam, usikute hawa viranja wanaandaa menyu pamoja na kanguruwe!
 
mtoa taarifa angesema uchaguzi ulikuaje mpaka ukachochea udini kuchagulia watu wa dini moja sio tatizo mbona hata uongozi wa nchi unaweza kuwa na dini moja lakini leo huwezi kuhoji kwa Rais ni muislamu, makamu Muislamu kisha utashuka kwenye ngazi mabalimbali na kuhoji lakini ukweli ni kwamba baadhi ya mambo ni suala la wakati kuliko kulitizama kidini
 
Mbona shule karibu zote za serikali hazina makanisa wala misikiti ktk maeneo ya shule? Je wanafunzi hawana dini ktk shule hizo? Wanafunz hutengewa sehemu tu kwa ajiri ya kuabudia siyo kujenga misikiti au makanisa. Kanisa la ndanda lilikuwepo kabla ya shule hivyo waislamu wasilionee wivu. Hata hivyo kutakuwepo msikiti jirani na watumie huo msikiti kwa niaba.
 
Lakini pia kama uchaguzi umeleta udini sio suala lililoletwa na uchaguzi huo ni lazima kuna chimbuko hapo shuleni ambalo likielezwa vema jibu linaweza kuwa sio udini bali ubaguzi kwa misingi ya dini kutoka uongozi kwenda kwa wananfunzi au uongozi wa wanafunzi kwenda kwa wanafunzi wa dini nyingine. nafikiri uchaguzi pekee hauwezi kuleta udini kama hakuna chanzo
 
hapa Jf tuwe makini sana pia kushambuliana kidini kama taarifa haijakamilika au kuonyesha uhalisia wake bila kuleta mashaka kama ilivyo kwa taarifa hii ambayo haijatoka kwenye chanzo cha kuaminika lakini pia taarifa haijaenda ndani zaidi kueleza udini huo umeletwa na nini huko ndanda kabla ya uchaguzi. hili ni moja ya mashaka ya kulikuza tukio pasipo sababu
 
kumbebesha zigo la udini Jk hakuwezi kutuacha salama ni vema tukashiriki kuliondoa tatizo hili bila kushambuliana. tatizo la wadini ukimshambulia Jk yupo atakayetafsiri anavyojua yeye kidini kisha hatutapata jibu na mwengine watasema ni Nyerere kaleta udini mwisho tutakuwa hatujashiriki kueleza hatari ya moto wa udini. kama Jk na Nyerere walikosea makosa yao hayaondoi wajibu wetu wa kurekebisha hali hiyo kwani ni sisi sote tutaathirika kwa vita ya kidini
 
tumwamini nani kila Rais aliyepita nchi tunaambiwa hakuitendea haki dini nyingine hizi ni fikra za watu wasiotaka kujibidisha kimaisha na kutegemea dini au kiongozi wa dini yake ambebe kimaisha. Wala sishangai wanasema Jk ni mdini kwani walisema pia nyerere ni mdini na sisi wenye akili zetu tunapelekwapelekwa na kubariki uzumbukuku huu
 
Kikwete anatakiwa auliwe kabisa na atupwe baharini mana ndiyo source ya udini.

lugha yako haisaidii kuondoa udini bali kukuonyesha kwamba na wewe ni mdini. tujadili namna ya kuleta utengamano wa kidini badala ya kujadili watu. Hapa Jf wapo wengi tu wadini na tunawajua tuwasadie kuondokana na ugonjwa wa udini
 
Mara hii umeipata, ahsante saana Mkuu, lakini haiwezekani kurudisha ile roho ya upendo tuliyonayo Watanzania kwa vijana wetu????? Hasa huko kwenye mashule, taasisi mbali mbali kama mkakati wa kujenga taifa lenye upendo, tukisema UDINI ni mwiko!!!! Maana tunapoelekea ni kubaya!!!!!!!!!



kwa hiyo huu ndio mchango wako wa kulikomboa taifa letu na udini? au umekata tamaa? wapambanaji wa kweli hawakati tamaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom