Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Status
Not open for further replies.
Kwani lazima kuwe na distribution ya dini katika uongozi ama nk. Kinachotakiwa ni potentiality ya mtu kulingana na nafasi pamoja na democrasia katika uteuzi/uchaguzi.
 
tungejua matokeo ya wadini hao wa ndanda darasani ili tujue watakuwa na mchango gani kwa taifa letu. lakini pia tujue kama ndanda wanafundisha elimu ya dini kuna maaskofu na mashekh kwa ajili ya elimu ya kiroho. tukiwaacha wajinga kuangamiza taifa letu wakati darasani ni sifuri wenye weredi wao hawatafurahia kuishi Tanzania.
 
Sarakasi zingine hizo za udini tutafikia wapi???????? Hakuna kiongozi wa kukemea huo uozo wa fikra potofu!!! Watanzania turudi kuishi kwa uzuri kama zamani???????

Mkuu, mbona unakuwa msahaulifu hivyo? Ngoja nikukumbushe, kuelekea kumbukumbu ya miaka 11 toka kifo cha Nyerere, Butiku alisema wazi "CCM ndicho chama kinachoongoza kufanya siasa za Udini". Hapajatokea kiongozi yeyote wa CCM au Serikali ya CCM aliyekanusha.
 
shule ya ndanda haina wapagani na watu wa dini za asili na dini nyingine mbali na wakristo na waislamu mbona hawa wanamezwa kwenye mjadala wa uongozi!!!! tatizo waislamu na wakristo mnajifanya nchi hii ni yenu peke yenu ni upuuzi usiovumilika
 
Source wa haya yote ni KIKWETE.

wengine wanasema ni Nyerere lakini wote mnaosema hivyo mnaipeleka nchi kwenye moto wa kidini na mna ajenda yenu ya kutupeleka huko. tunaomba zamu ijayo iwe ya rais asiye na dini
 
Hii ndo moja za sababu zilizonifanya niachane na hizi imani za ki-ibrahim. Zikiwakolea huwa wanaanza kuamini watu ni wale wenye imani sawa na wao tu na wengine ni kama hayawani tu.
 
Kwani hiyo shule inamilikiwa na nani!

nadhani shule ilikuwa ya kanisa ni moja ya shule alizotaifisha Nyerere kuwa za serikali na ndio maana ilikuwepo kabla uhuru enzi za wakoloni. sijui kama serikali ya awamu ya pili ya Ally hssan mwinyi ilirudisha kwa kanisa katika moja ya sera za kurudisha shule za dini baada ya serikali kushindwa kuziendesha kama awali lakini pia kukidhi ombi la serikali kwa taasisi za dini kuwekeza kwenye elimu kwa sharti kwamba serikali irudishe kwanza shule zilizokuwa za taasisi za dini zote sio wakristo pekee
 
Tunahitaji serikali imara itakayosimamia haki za wananchi wake wote bila kujali mafungamano ya kidini.
 
udini wameupandikiza ccm kukaakaa wanalalamika eti kuna udini, udini upi tatizo waislam wanahic wanahisi wanabaguliwa wakati wanajibagua wenyewe
 
Sehemu ya kuabudia wanayo,ila wanataka msikiti kabisa
 
Yan ni sawa na wakristo waanze kuhoji, kwa nn JK na Bilali wote ni waislamu? Sijui ni nani kapandikiza hii kitu!
 
hao wanafunzi wa kislam waliogoma ni wapumbavu-
kama viongozi wanachanguliwa-ilikuwaje wakakaa kimya then muda huu ndo wanahamaki?
na je shule nyingine zenye viongozi waislam wanafunzi wadini nyingine nao wagome?
pumbavu zao,zamani migomo ya shule ni kwa sababu ya chakula na au uongozi mbovu wa walimu,hawa wanagombania dini..to hell with these young mullahs...
 
Hawa madogo ni wajinga sana. Inamaana kwa waliosoma mfano Mzumbe secondary, wakristu wangeomba nao eneo la kujenga kanisa? kwa kuwa waislamu wanamsikiti tena na kijumba?
 
Dah nakumbuka mwaka 2004 Wakati nasoma Ndanda High School form five niliwai kuwaonya wanafunzi wa kiislamu juu ya amani waliyokuwa wanataka kuivuruga kutokana na kampeni za kidini walizokuwa wanafanya kupitia mgombea wao ndg Ally(muislamu) aliyekuwa akishindana nafasi ya Ukaka mkuu dhidi ya ndg Mwakavindi(mkiristo) japo ndg Ally alishinda lkn hakuwa na sifa za kuongoza ila tu kwa vile muislamu basi hakukosa kura hata moja ya muislamu ili kufanikisha ajenda yao na hata baraza la mawaziri lilijaa waislamu tupu.
 
hili kama ni kweli ni la kukemea kwa nguvu zote. Hii ni dalili ya kizazi kibaya sana , na huyo mfadhili kashindwa kusaidia waislam waliokosa ada ?. Nimesoma Bagamoyo (Magambani) shule ya serikali 100% kuna Msikiti wa shule. Hakuna KAnisa na wao wakidai Kanisa hii nchi tutaenda kweli?
Maadui wetu ni walewale 1.UJinga 2. Umaskini 3. Maradhi na mwingine mpya ka ukimwi ni ufisadi. Wakrito kwa Waislam wote tunahusika. Tupambane nao.
 
Waislaam wanataka mskiti, wapewe, Bila ya hivyo hapatoshi.
Na pawe padogo tu! Kwani machafuko yakitokea waathirika ni wakristu tu? Wakristu kupenda Amani sio maana yake we are coward! We can fight! Tena mimi nina hamu sana na kufight nawe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom