Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao watoto sio wajinga kiasi hicho, ni lazima kuna sababu nyingine..
Hivi watoto kuomba eneo la kufanyia ibada ni udini???
Acheni ujinga, wapewe eneo la kufanyia ibada kuna tatizo gani hapo..
Mkuu wa shule either ni kilaza au mdini
This is an important observation!! Kila dhehebu likidai kujenga nyumba ya ibada itakuwaje jamani. Fukuza takataka wakasome madrasa
Kwanza kabisa aliyeanzisha hii thread kakosea. Mkapa alisoma shule ya kigonsera iliyopo iliyokuwa seminary kabla ya kuhamishiwa Likonde. Watu wanajichanganya kwa kuwa zote ni shule zilizokuwa zikimilikiwa na wamisionari wa kibenedictini.
Waislam kudai msikiti ni suala lisiloingia akilini kwa kuwa serikali haijawahi kujenga makanisa katika shule zake. Maoni yangu ni kwamba kanisa ndilo lingedai kunyanganywa shule pamoja na kanisa, kwa kuwa ubinafsishaji ulikuwa ni kwa shule na sio makanisa. Hivyo kama shule ni ya serikali, kanisa sio shule basi kanisa lirudishwe kwa wamisionary. Lakin kwa kuzingatia mazingira na jiografia ya ujenzi wa makanisa ndani ya shule, ni vyema waislam wakafundishwa ukweli huu wa kihistoria.
Hapa angalau umenena ni kukaa na kuwaelimisha na kuwatafutia sehemu mbadala ya kusalia, kwa sababu SALA NI LAZIMA KWA MUUMIN WA DINI YA KIISLAM! sio kutukana watu bila sababu, kitu kidogo madrasa ! hamjui hadhi ya madrasa nyie, acheni kubabiababia!
Shule ni ya serikali,ila ni majengo ya kanisa la roman,karibu sana na shule kuna lkanisa la roman,so wanataka kuwe na msikiti pia,its nonsense
ni ujinga na upumbavu kukashifu dini za watu. unajiona mjanja kuandika upumbavu kama huu! yaelekea una matope kichwani. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika hii pumba! Yaelekea umetoroka mirembeWakristu waongeze kasi ya kupiga buku waachane na hao wanaotaka nafasi za uongozi ili watekeleze ajenda zao binafsi.....necta ni mwalimu mzuri sana mwisho wa siku atawapa stahiki yao kama kawaida lazima washike mkia. Na hivi waziri wa elimu na katibu wake ni wa dini yao hawatakuwa na cha kujitetea.
ushauri mzuri sana ila mwisho umeharibu! shule warudishiwe roma na kama hawatarudishiwa basi msikiti ujengwe! msikiti ni nyumba ya ibada kama ilivyo kanisa na si bar ya mbege! sioni sababu ya wajinga kuchukia mskiti na kukashifuSerikali inabidi iwarudishie ROMA wenyewe shule yao nao ndo wataamua wafanyeje hapo mgogoro utakuwa umekwisha. Misikiti wakajenge majumbani mwao sio shuleni
wakirudi bila muafaka patachafukamachafuko gani unayoyatajja wewe tena wakati wa2 wamesharudishwa makwao
Hapa angalau umenena ni kukaa na kuwaelimisha na kuwatafutia sehemu mbadala ya kusalia, kwa sababu SALA NI LAZIMA KWA MUUMIN WA DINI YA KIISLAM! sio kutukana watu bila sababu, kitu kidogo madrasa ! hamjui hadhi ya madrasa nyie, acheni kubabiababia!