Obe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2007
- 10,083
- 34,850
Nadhani mkuu wa shule bado ni Mr Sowan David, na kwa hiyo sababu uliyosema (kuhusu ukiranja) ni kichokoo tu, wiki moja iliyopita waliandamana kudai wajengewe msikiti shuleni (kumbuka, shuleni hapo hakuna kanisa), wakristo (UKWATA, CASFETA, ASA nk) huwa wnasali madarasani. Waislamu wamepewa jengo lao moja kwa ajili ya ibaada na ofisi ya jumuiya yao.
Inakera sana kuona vijana wanaoandaliwa kuwa wasomi wanasukumwa na suala la kidini tena katika hali hasi kabisa ya kutaka kupendelewa, wangegoma wakitaka kuwepo na nafasi za viti maalumu za ukiranja kwa dini yao ningewaelewa lakini kwa hili, la, uchaguzi unafanyika wanagombea na hii ni shule ya serikali hivyo suala la dini linabaki kuwa lako binafsi.
Japo kufukuza wote sio suluhisho, napendekeza pande zote zikae na kama vp jengo wanalotaka kujenga msikiti likajengwe liputu, kwenye shamba la shule