Shule bila Madarasa ya kusomea

Shule bila Madarasa ya kusomea

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Mimi ni mwalimu katika shule moja ya sekondari huku Rufiji.Mwaka huu tunategemea fom 3 wa 1 ktk shule hii,Chakushangaza madarasa yakusomea hayajakamilika mpaka sasa na shule zimefunguliwa.Hii inatisha, 4m 2 tunao 160 madarasa ma2 ! bado hao waliofeli kuelekea 4m 3 na wanatakiwa warudie.4m 1 tumeletewa 199 na wana madarasa ma2.
Hivi unafuu wa kazi uko wapi?Kila sehemu tabu!mshahara midogo,mazingira magumu mwisho wa siku tutapiga blabla darasani na mwaka utaisha.
 
Back
Top Bottom