Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,455
- 6,340
Mkuu kama unawaza kumsomesha kijana wako shule ya serikali ili akifika chuo kikuu apate mkopo.NAKUHURUMIA SANAKuna ka ukweli hapa.
Hali hii imetokana na wanafunzi wanaopata mikopo ya elimu ya juu ni wale waliosoma shule za Serikali, Pia ukata mkali huku mtaani nao unachangia wazazi kuwaacha watoto wao wasome shule za kata.
Sina mpango huo. Nimejibu sababu zilizopelekea uchache wa wanafunzi shule za Private kama mada inavyojieleza.Mkuu kama unawaza kumsomesha kijana wako shule ya serikali ili akifika chuo kikuu apate mkopo.NAKUHURUMIA SANA
Sina mpango huo. Nimejibu sababu zilizopelekea uchache wa wanafunzi shule za Private kama mada inavyojieleza.
Wewe ni mwalimu bila shaka. Kikubwa fanya kazi kwa bidii utabiri wako hautotimia. Matajiri huwa wanaenda na upepo, hivyo inawezekana muda huu upepo unaovuma sio mzuri lakini punde tu upepo ukapungua kasi ukawa upepo mzuri unao safirisha majahazi.
Upo wapi wewe? Weka idadi katika shule hizo na majina yao!!
Jaribu kutembelea Jitegemee na St Francis utuwekee idadi ya mwanafunzi.
Mis-management of the economy? Kweli wewe unajua sana mambo ya uchumi wa Facebook.Umelogwa na kichaa juu, rudia? Taja zilizofungwa kwa kukosa wanafunzi.
Hata kama ni hivyo, sababu ni IPI? Watu hawana hela kwa sababu ya mismanagement of economy by this regime.
yeye point yake ilikuwa by necessary implication, eti za serikali zinafanya vema hivyo watu wanawapeleka watoto kule..... hilo ndilo nalikataa...... Lumumba wanasema hivyo, wanajenga hoj hiyosasa hapo umekubaliana nae au umepingana nae!?
Mkuu ulisoma Weruweru?Shule za serikali zimerudisha hadhi yake,nakumbuka kipindi nasoma Weruweru, enzi hizo shule za serikali zilikua juu sana
Ukishakuwa verified user lazima uwe takataka!Mis-management of the economy? Kweli wewe unajua sana mambo ya uchumi wa Facebook.
Ila nazo duh! Huwezi kuzilinganisha na St. XXX hizo bado zinafurika.Nyingi Sana labda wewe Kama uko nje ya nchi. Mfano kifai sec school kiluvya, perfect vision ubungo, mzinga sec banana, abc capital kinyerezi, right wing majumba sita n.k zote zimefungwa chini ya dictator magufuli
Sijui unazungumzia shule zipi, hapa Moro ukienda pale St Ann's kuuliza nafasi za kindergarten zimejaa tokea Disemba, std one ndiyo wala usiseme..Shule za private chache Sana zinazosurvive na ambazo zpo well organised....nyingi zinapumulia mashine , walimu wanakopwa mwanzo mwisho, kuacha hawawez mana wakija huku hata hcho watakosa mana jiwe kafunga .lango la Ajira
Nazungumzia sekondary mkuu, serikal haina kindergarten thus whySijui unazungumzia shule zipi, hapa Moro ukienda pale St Ann's kuuliza nafasi za kindergarten zimejaa tokea Disemba, std one ndiyo wala usiseme..
Iko kilimanjaro
Muongo wewe kwendraaaaaaa.Ooh, kwa ufafanuzi, nimesoma Weruweru boys,siyo girls
A level ukaenda Ashira Girls ya wavulanaIko kilimanjaro
Waambie wenye Shule binafsi kuwa Kutesa kwa zamu!Mambo yamebadilika. Miaka sita iliyopita watu walikuwa wanazikimbia shule za serikali wanagombania shule za private.
Hali imekuwa kinyume miaka hii na hasa mwaka huu. Sasa shule za serikali zimefurika wanafunzi wakati sekondari za private zina wanafunzi kiduchu.
Ukizingatia kwamba sekondari za private zina wawekezaji wababaishaji yaani hawaja invest wanategemea mapato kutoka kwenye ada ya wanafunzi.
Sasa kama una wanafunzi hawazidi 20 darasani maana yake hiyo shule inasuasua hata kama wanafunzi wanalipa ada kwa wakati.
Sasa huwa hawalipi kwa wakati na hivyo kuongeza tatizo.
Matokeo yake shule haziendesheki na hata kulipa mishahara walimu ni tabu tupu.
Matokeo yake ni kufeli wanafunzi na shule kukosa mvuto kabisa.
Hali ikiendelea hivi miaka miwli ijayo basi private secondary schools zitafungwa na zitabaki za kanisa tu.
Pia ni moja ya mafanikio ya mtaa wa kijani.semaWaambie wenye Shule binafsi kuwa Kutesa kwa zamu!