Shule bora 20 za serikali 2013.

Shule bora 20 za serikali 2013.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Uchambuzi huu umezingatia kigezo cha shule kongwe kihistoria. Ni zile zilizoanza kabla ya uhuru.


1. Sekondari ya Mzumbe
Imeshika nafasi ya 40 kitaifa. Ufaulu kwa madaraja ni kama ifuatavyo: daraja la kwanza (57), daraja la pili, (27), daraja la tatu (15), daraja la nne (9). Hakuna daraja sifuri


2. Sekondari ya Ilboru
Imeshika nafasi ya 41 kitaifa. Daraja la kwanza (55), daraja la pili, (21), daraja la tatu (23), daraja la nne (5). Hakuna daraja sifuri


3. Sekondari ya Kibaha
Imeshika nafasi ya 44 kitaifa. Daraja la kwanza (44), daraja la pili, (31), daraja la tatu (12), daraja la nne (9). Hakuna daraja sifuri


4. Sekondari ya Lumumba
Imeshika nafasi ya 51 kitaifa. Daraja la kwanza (10), daraja la pili, (10), daraja la tatu (1), daraja la nne (2). Hakuna daraja sifuri


5. Sekondari ya Wavulana Tabora
Imeshika nafasi ya 56 kitaifa. Daraja la kwanza (42), daraja la pili, (20), daraja la tatu (9), daraja la nne (13). Hakuna daraja sifuri


6. Sekondari ya Kilakala
Imeshika nafasi ya 62 kitaifa. Daraja la kwanza (34), daraja la pili, (32), daraja la tatu (7), daraja la nne (10). Hakuna daraja sifuri


7. Sekondari ya Msalato
Imeshika nafasi ya 65 kitaifa. Daraja la kwanza (29), daraja la pili, (32), daraja la tatu (24), daraja la nne (2). Hakuna daraja sifuri.


8. Sekondari ya Fidel Castro
Imeshika nafasi ya 83 kitaifa. Daraja la kwanza (29), daraja la pili (32), daraja la tatu (24), daraja la nne (2). Hakuna daraja sifuri.


9. Sekondari ya Wasichana Tabora
Imeshika nafasi ya 147 kitaifa. Daraja la kwanza (15), daraja la pili, (20), daraja la tatu (21), daraja la nne (17), daraja sifuri (2).


10. Malangali Sekondari
Imeshika nafasi ya 172 kitaifa. Daraja la kwanza (7), daraja la pili, (26), daraja la tatu (16), daraja la nne (2), daraja sifuri (6).


11. Sekondari ya Ifunda
Imeshika nafasi ya 205 kitaifa. Daraja la kwanza (24), daraja la pili (40), daraja la tatu (18), daraja la nne (22), daraja sifuri (14).


12. Sekondari ya Jangwani
Imeshika nafasi ya 226 kitaifa. Daraja la kwanza (40), daraja la pili (71), daraja la tatu (52), daraja la nne (67), daraja sifuri (35).


13. Sekondari ya Wasichana ya Iringa
Imeshika nafasi ya 241 kitaifa. Daraja la kwanza (15), daraja la pili, (28), daraja la tatu (15), daraja la nne (27), daraja sifuri (18).


14. Sekondari ya Wavulana Bwiru
Imeshika nafasi ya 242 kitaifa. Daraja la kwanza (20), daraja la pili (18), daraja la tatu (13), daraja la nne (32), daraja sifuri (12).


15. Sekondari ya Wavulana Songea
Imeshika nafasi ya 257 kitaifa. Daraja la kwanza (12), daraja la pili (10), daraja la tatu (14), daraja la nne (17), daraja sifuri (8).


16. Sekondari ya Zanaki
Imeshika nafasi ya 276 kitaifa. Daraja la kwanza (13), daraja la pili (60), daraja la tatu (66), daraja la nne (63), daraja sifuri (26).


17. Sekondari ya Kantalamba
Imeshika nafasi ya 310 kitaifa. Daraja la kwanza (15), daraja la pili (29), daraja la tatu (48)daraja la nne (34), daraja sifuri (37).


18. Sekondari ya Pugu
Imeshika nafasi ya 325 kitaifa. Daraja la kwanza (14), daraja la pili (16), daraja la tatu (22)daraja la nne (36), daraja sifuri (16).


19. Sekondari ya Azania
Imeshika nafasi ya 333 kitaifa. Daraja la kwanza (54), daraja la pili, (67), daraja la tatu (96)daraja la nne (121), daraja sifuri (87).


20. Sekondari ya Kibasila
Imeshika nafasi ya 337 kitaifa. Daraja la kwanza (32), daraja la pili (89), daraja la tatu (90)daraja la nne (129), daraja sifuri (89).

Source: Mwananchi 05/03/2014.
 
TANZANIA kuna shule nne tu ambazo ni KIBAHA,MZUMBE,TABORABOYS NA ILBORU baaasi
 
Mbona iyunga,mbeya na samora machel secondary hazimo wakati iyunga ni ya 126 na mbeya day ni ya 113 na ni shule za serikali, kama wameangalia ukongwe wa shule kama kigezo mbona iyunga pia ilianza kabla ya uhuru?.Naomba unipe ufafanuzi juu ya hizo shule kutokuwepo katika 20 bora wakakati perfomance yao iko juu kuliko hizo walizoziweka
 
Back
Top Bottom