Shule bora ya serikali

Shule bora ya serikali

1.pcm-ilboru,kibaha,mzumbe,tabora boys
2.pcb-ilboru,mzumbe,tb,kibaha
3.pgm-sengerema sec
4.cba-kibaha.
5.cbg-hakuna shule maalumu.
6.cbn-jangwani,machame.
7.egm-pugu,mara sec,minaki,galanos.
8.hge-minaki,mara,galanos,umbwe.
9.eca-kibaha,umbwe,arusha sec.
10.hgl-ilboru,
mzumbe,tb.
11.hgk-hakuna shule maalumu.
12.hkl-kisimiri
 
Perry umetisha nakubaliana na wewe!
 
the overall best school in TANZANIA is ILBORU SEC. SCHOOL only followed by other SPECIAL schools

LYAMUNGO ni shule inayochukua alama za kawaida ila ina ufaulu mzuri sana japo utundu na ukosefu wa walimu in jambo lakawaida. wanafunzi wamerithi tabia ya kijituma ndio siri ya mafanikio yao
 
Lyamungo v/s ilboru! Hahaha kubalin kwamb kbh,tbrboys,mzumbe,kisimiri,ilboru ndo wanaotoa aibu kwa shule za serikali!
 
Shule nzuri ni ile inayo faurisha wanafunzi. Hizo special schools zinafauliza kwasababu zinachukua wanafunzi walio faulu kwa kiwango cha juu!!
 
Ninga saafi100%,alaf wewe ni mboysia niliona chata lako bweni la mirambo "ningar"
 
Pumba tupu! Shule bora ni wewe na division uliyotoka nayo o-level na a-level...mimi bora
 
Digodigo, private nzuri ni,loyola,feza,babro,maua,machame,st.marygoreti,marian
 
Kama ni division bora,ya o-level sasa mbona unajifunga mwenyewe? Inajulikana waz kwamb vipanga wa o-level wanaendaga wap
 
Kaka mawoso graduation yetu ya f6 2012 hawakuja kuzecha disko! Nilichukia vibayaa nikasema lazma niende n'gambo kucheda
 
Kaka ninga puri(puchu) sijaizoea mimi ni mzee wa kugonga shoo live na mtoto wa n'gambo ,hahahaha puchu noma mnoo
 
Kaka nawe ni mlambo dah! Awa jamaa watata sanaa watani wetu wa jadi
 
RUHINDA au sio!! Hii ni product ya SOBIBO Chamber(MILAMBO DOMTRY)
ha ha ha umenikumbusha mbali sana kijana...mie nilikua GUANTANAMO pale chooni...kila siku MASELE na BAROSHA wanaibuka kusumbua...........
 
Back
Top Bottom