the overall best school in TANZANIA is ILBORU SEC. SCHOOL only followed by other SPECIAL schools
Ninga saafi100%,alaf wewe ni mboysia niliona chata lako bweni la mirambo "ningar"
milambo ikiwa shule bora mbwa anapiga mswaki!shule bora ni MILAMBO ya pale MBOKA
Kaka mawoso graduation yetu ya f6 2012 hawakuja kuzecha disko! Nilichukia vibayaa nikasema lazma niende n'gambo kucheda
bila shaka weye ni mboyzia tena wa pale RUHINDA...Milambo kiboko bana acha porojomilambo ikiwa shule bora mbwa anapiga mswaki!
bila shaka weye ni mboyzia tena wa pale RUHINDA...Milambo kiboko bana acha porojo
ha ha ha umenikumbusha mbali sana kijana...mie nilikua GUANTANAMO pale chooni...kila siku MASELE na BAROSHA wanaibuka kusumbua...........RUHINDA au sio!! Hii ni product ya SOBIBO Chamber(MILAMBO DOMTRY)