Haya shule bora za private hizi hapa.
1. St. Francis
2. Marian
3. St. Mary Goret
4. St. Joseph millenium
5. Kifungilo
6. St. mary's mazinde juu
7. Kanossa girls
8. Loyola
9. Anwaritte
10. Kibosho
11. Visitation
12. Tengeru boys( part ya marian)
13.
endeleza.....
n:b hizi sio seminary.
special skul ni kitu gan mkuu?? mi nlikua nasikia(toka kwa babu yangu) enzi zao zilikuwepo!! kumbe hadi siku hizi zipo?? na kama zipo kwel(japo siamin) wana nini cha ziada sana kushinda hawa wengine(yaani sisi)..mimi nadhan huu ni mtindio wa kimawazo na fikra za miaka hiyooo(kabla ya uhuru)..shule siku hizi ni wewe mwenyewe tu..hata kama unasoma kwenye hizo unaziita special.. one utapata na zero utapata kama kawaida kama hutajibidiisha..uspecial uko kwa mtu mwenyewe bila kujali shule kwa hiyo ondoa mawazo mfu katika kichwa chako mkuu!!!!Tabora boys kichwa cha tanzania, special skuli ya kwanza tanzania ,kisimiri na kibaha mzumbe wameibuka miaka ya karibun
huu ni uongo uliokithiri...toka lini pugu wanatoa hge..mkuu jipange kabla hujaropoka!!!Kwa kombi,cba-kibaha,galanos.pcb-tbrboys,kbh,mzumbe,ilboru,kisimiri.eca-kibaha,umbwe.hge-minaki,umbwe,pugu,tosa,mirambo!
hayo ni mawazo yako mkuu hatuyapingi japo yamepinda!!Shule Bora ni:
1.Ilboru
2.Mzumbe
3.Tabora Boys
4.Kibaha
Baaaaaaaaaasiiii.
but st francis na marian nnavyoelewa ni skuli za wakatoliki
kama vip anzishen mada yenu bana...ha ha ha umenikumbusha mbali sana kijana...mie nilikua GUANTANAMO pale chooni...kila siku MASELE na BAROSHA wanaibuka kusumbua...........
vipaj maalum unasemea vip mkuu..mpira,kucheza mziki,kuimba kupiga ngoma au unamaanisha nin??performance nzuri katika shule za serikali hutegemea sana pamoja na mabo mengine aina ya wanafunzi wanaochaguliwa kujiunga na shule hizo. kama ni watoto wenye vipaji maalumu shule itakuwa na performace nzuri na hivi hatuewezi kuiita shulehizo kuwa ni bora kwa ajili hiyo. kama nilivosema shule bora ni kauli tata bila kuwepo vigezo. Utaona sasa kuwa Shule za Mzumbe, Kibaha n.k hufaulisha zaidi kwa sababu hupokea wanafunzi wenye vipaji maalum. shule nyingine zikipewa nafasi hii zitakuwa hivohivo
kwenye red hapooo.. inamaana dingi(baba) alikuchagulia comb ya kusoma?? au mimi ndo sijaelewa!!!Dah hakuna kitu nilikua napenda kama kusoma bweni, O-level nilichaguliwa Mbeya Secondary ulifanyika mpango wa kunihamishia Tosamaganga likatokea zengwe, A-level nikapata post Rungwe dingi akagoma Comb hakuipenda nikahamia day tena. Chuo lazima hostel but mzuka sio kama wa Secondary.
kwenye red hapooo.. inamaana dingi(baba) alikuchagulia comb ya kusoma?? au mimi ndo sijaelewa!!!
huu ni uongo uliokithiri...toka lini pugu wanatoa hge..mkuu jipange kabla hujaropoka!!!
dah mi nadhan kuna kosa lilitendeka..mfano ungepiga zero ungejilaum wewe au dingi!!??? mkuu hayo yashapita ila hata wewe usije mchagulia mtoto au ndugu comb ya kusoma...maa lawama yake na madhara ni makubwa hasa kwa huyo msomaj(mtoto)....Dah mkuu dingi alikua ananichekia course ambayo ina option nyingi chuo tofauti na niliyokua nimepata. But nilikua naiweza.
kumbe una majibu yako afu unakuja potezea watu mda humu jf ku***vu!!!!Tusisahau shule hizi:
1.Don Bosco Mafinga seminary
2.St.Joseph Kilocha Seminary
3.Maua Seminary
4.Uru Seminary
sorry mkuu nimekupata...si unajua tena mkikutana old school boys uwa akili inaruka kwa muda... samehe sie sanakama vip anzishen mada yenu bana...