Shule bora ya serikali


PGM umesahau IFUNDA TECH and PCM umesahau kisimiri
 

MSOLWA umeiweka wapi wewe????? au ujui kuwa ipo kwenye top.zaid ya loyola???????
 
but st francis na marian nnavyoelewa ni skuli za wakatoliki

Yeah marian na st. Francis ni za kikatolik but haziongozwi kidini saana kama uru seminary.au maua.. sawa na feza hz n shulw za kituruki (islamic) but hazipo kidini saana kama kama vle al- haramain nk
 
Shule Bora ni:
1.Ilboru
2.Mzumbe
3.Tabora Boys
4.Kibaha

Baaaaaaaaaasiiii.

Mjumbe pia hajaeleza kama anatafuta shule ya wasichana au wavulana...naona zinatajwa za wavulana tu...kwa Wasichana Kilakala ni miongoni mwa shule bora za wasichana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…