Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayezifahamu naomba uzi-list zote
NINA UHAKIKA. haukuna shule hata moja ya serikali ambayo ni bora kama vigezo vyote vitazingatiwa,kuanzia miundombinu,huduma,walimu nk.
ila kuna shule zinazofaulisha kwa kiasi kikubwa na sababu si ubora wa shule zenyewe bali ni ubora wa wanafunzi wenyewe,shule zenyewe ni zile za watu wenye vipaji maalumu.
kama tabora boys,mzumbe,Ilboru,Kibaha kwa shule za wanaume,za wanawake sisijui
Kufaulu tu mitihani ndo kipaji maalum?
no thank you,sema serikali ndo wanatumia kigezo cha ufaulu wa mtihani pekee,ila nikiulizwa mimi ni zaidi ya hapo
education system yote ina matatizo makubwa sana yanayoharibu watoto na uwezo wao toka shule ya msingi mpaka chuo kikuu,wakiambiwa watazame upya mfumo mzima wa elimu ili watu tuchangie kama tunatengeneza katiba mpya hawataki.Hapo ndo ujue serikali haina akili kabisa kwa sababu inawafanya watu wasio na vipaji maalum wajiamini kuwa wana vipaji maalum ilhali ni watu wa kawaida tu!
ila kuna shule zinazofaulisha kwa kiasi kikubwa na sababu si ubora wa shule zenyewe bali ni ubora wa wanafunzi wenyewe,shule zenyewe ni zile za watu wenye vipaji maalumu.
kama tabora boys,mzumbe,Ilboru,Kibaha kwa shule za wanaume,za wanawake sisijui
Anayezifahamu naomba uzi-list zote
Alliance High na Starehe BoysAnayezifahamu naomba uzi-list zote
Mkuu, wenye vipaji maalum watakuja hapa na kukwambia una wivuKufaulu tu mitihani ndo kipaji maalum?
List top 50:1.kibaha 2.ilboru 3.tabora 4.mzumbe..5.mtwara tech 6.mwanza sec 7.marian 8.loleza 9.tosamaganga 10.binza sec 11.jangwani 12.kibiti 13.minaki 14.bwiru sec 15.taqwa 16.magu day 18.feza 19.ashira 20.moshi tech 21.old moshi 22.ngudu day 23.st.marys nyegezi seminary 24.ihungo 25.musoma tech 26.shy bush 27.kahororo 28.musoma tech 29.mara sec 30.sua sec 31.aza boys 32.kandoto 33.pugu 34.maswa sec 35.tanga tech 36.jamuhuri dodoma 37.moro sec 38.arusha day 39.kazima 40.karatu 41.songea boys 42.iringa sec 43.ruvu grlz 44.st.fransic 45.rukwa 46.ng'wigwa sec 47.mwenge 48.lugoba 49.kwiro 50.uhuru day.
Kwel mkuu hujasema uongo nusoma high school ni daraja la kwenda versty.nimepita pale miaka ya 2006,pale bila kuwa na kitu kichwan unaachwa mapema.kuna vivhwa kibao vimetoka pale mfano hata pinda kapita pale.Ngoja mm nijisifie ya kwangu fasta wala sisubiri wengine wajisifu: BONGE LA SHULE; Musoma High school or formally Musoma Technical Sec School/ Alliance. Bonge la shule narudia. Enzi zetu ilikuwa inaitwa Open University of Mara. Warning:Watoto mayai mayai au waliozoea kutafuniwa na wao kumeza tu wakienda pale A-level wanaramba Zero Kubwa hata awe ameingia na 7 yake!!!