Shule gani inafaa Mbeya kwa A-level?

Shule gani inafaa Mbeya kwa A-level?

wamidosho

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
456
Reaction score
424
Nmepata ufaulu mzuri tu wa kidato cha nne lakini natafuta shule ya private iliyo bora kitaaluma kwa masomo ya arts? Nahitaji msaada wenu.
 
Check Swila uko mbalizi ni co_edu. Wako fit HKL hgl hge
 
shule nzuri mbeya nzima kwa sasa mi UWATA BOYS na HARRISON UWATA GIRLS..
kwa olevl na advance ni shule nzur na kisasa..
sio za zaman sana labda ndo maana watu hawajazitaja..
kw

pitia matokeo yao utakubaliana na mimi.
Hizo zingine zilikuwa nzur zaman kwa sasa ni uwata tuu
 
Back
Top Bottom