February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Nikiangali umejiunga jamiiforums miaka mitatu nyuma. Umeingia humu ukiwa darasa la tano? Au wewe ni elimu maalumu ya watu wazima?Mambo vipi wakuu?
Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7.
Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari?
Iwe na sifa zifuatazo:
-Chakula kiburi (muhimu sana)
-Mazingira (library, computer room etc.)
-Inafaulisha.
NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
Bila shaka ndie, kama una msaada msaidie.Nikiangali umejiunga jamiiforums miaka mitatu nyuma. Umeingia humu ukiwa darasa la tano? Au wewe ni elimu maalumu ya watu wazima?
Iko API hiiJamiiforums High School. Pale utapiga fresh F1 mpka F6.
Yah, mom alininunulia sim nkiwa darasa la5Nikiangali umejiunga jamiiforums miaka mitatu nyuma. Umeingia humu ukiwa darasa la tano? Au wewe ni elimu maalumu ya watu wazima?
No, nna 12 years oldBila shaka ndie, kama una msaada msaidie.
Amesahau tu sifa nyingine ya shule kua imkubali na miaka yake 28.
Why umeweka kiburi hapo?Sifa no 1:
Chakula (kiburi)mhimu sana!
Ukiwa na maana 21No, nna 12 years old
Kwahyo unamfundisha mwenyew nyumban?Mhh
Edina wangu sitampeleka shule na hawa wahuni
Pakoje uko saku? Wanafaulisha?Boarding sio nzuri unaweza lawitiwa bora usome day kuna saku sekondary school itakufaa
Mbona zipo nyingi tuSwali lako lilitakiwa liwe hospital gani nzuri zaidi ya milembe
Ongeza kahawaMambo vipi wakuu?
Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7.
Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari?
Iwe na sifa zifuatazo:
-Chakula kizuri (muhimu sana)
-Mazingira (library, computer room etc.)
-Inafaulisha.
NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
Mimi ni MEMKWANikiangali umejiunga jamiiforums miaka mitatu nyuma. Umeingia humu ukiwa darasa la tano? Au wewe ni elimu maalumu ya watu wazima?