Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Mwalimu Kitaeleweka ktk blue ulimaanisha...all wether?? road ...emergence.??
Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda
Mwalimu Kitaeleweka ktk blue ulimaanisha
WEATHER &
EMERGENCY au ndo hivo hivo ulivoandika?[/
QUOTE]
hivyo ulivyoandika wewe mwanafunzi. hahahaaaa thanx bway!
asa mchizi alienda su ndo aliamua kukacha mzima.Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda
HV WEWE hao wanaoishi huko si watanzania wenzio?? unataka nani aende huko kama si wewe halafu unajiita M4C himizeni uzalendo msilete talalila zenu hapawalimu wenzangu kuna shule ukipangwa ni zaidi ya jela fanya utafiti kabla hujakurupuka. shule isiyo na nyumba za walimu, vyoo, staffroom, umeme, network, iko jangwani kusiko na all wether road masika hamna usafiri, ina mkuu tu, nyumba za kupanga kijijini ni za udongo na kuna wachawi balaa.
Hahahaaaaaa these are comon problems with all these fastjet xulz now stop dreaming n collect ur lantern simu utatumia kaa tochi na kama huna solar its gud for nothing. nunua pia dawa ya kunguni for emergence.
wee shule zenu hizi ccm ya lowasa na jk mlizokuruouka kujenga bila kuzikamilisha. cc ndo tukawamalizie shida zenuHV WEWE hao wanaoishi huko si watanzania wenzio?? unataka nani aende huko kama si wewe halafu unajiita M4C himizeni uzalendo msilete talalila zenu hapa
jaman wap huko?
hapo tu pamenifanya nikuachewee shule zenu hizi ccm ya lowasa na jk mlizokuruouka kujenga bila kuzikamilisha. cc ndo tukawamalizie shida zenu
hahahahahaha,asante kaka/dada ni mahali,maana mahari ni KILE KITOLEWACHO KWA AJILI YA KUTAKA KUOAhiyo blue ni = MAHALI???
Sasa mchizi shule alopangwa kwakua ipo porini ikabidi ofisi ya afisa elimu itoe gari la kumpeleka (land cruiser hard top) ndani ya saa 2 wapo safarini hawafiki,jamaa akamwambia dereva geuza turudi tulikotoka maana huku tuendako sitakaa,dereva akamwambia nimeambiwa nikupeleke kituo cha kazi,jamaa akasema hata tukienda ujue tutarudi wote,wewe turudi,kweli wakarudi HLMASHAURI jamaa akarudi jijinasa mchizi alienda su ndo aliamua kukacha mzima.