shule hii usiikubali ajira mpya

shule hii usiikubali ajira mpya

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
394
Reaction score
88
walimu wenzangu kuna shule ukipangwa ni zaidi ya jela fanya utafiti kabla hujakurupuka. shule isiyo na nyumba za walimu, vyoo, staffroom, umeme, network, iko jangwani kusiko na all wether road masika hamna usafiri, ina mkuu tu, nyumba za kupanga kijijini ni za udongo na kuna wachawi balaa.
Hahahaaaaaa these are comon problems with all these fastjet xulz now stop dreaming n collect ur lantern simu utatumia kaa tochi na kama huna solar its gud for nothing. nunua pia dawa ya kunguni for emergence.
 
Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda
 
We call it, naked truth ... nafkr ujumbe wamepata, kaz kwako kufanya maamuzi ....
 
jamani shule hazina mvuto wa kufundisha. Nlikimbia hii fani baada ya miaka miwili maana ni shule ya kata ipo kijijin bala. Mwalimu wa masomo ya sayansi nlikuwa peke yangu kwa shule nzima af salary 131,000/=. Hamna maabara wala maktaba. Mshahara ni mpk upande basi ndo ukachukue, ukikuta haujaingia imekula kwako maana hata mtandao haushiki huko. Nlichukia ualimu.
 
Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda

hiyo blue ni = MAHALI???
 
Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda
asa mchizi alienda su ndo aliamua kukacha mzima.
 
Aisee hapo kwenye WACHAWI wengi umenena mku....maana ukichapa katoto ka mtu huchelewi kujikuta umelazwa nje.....
 
walimu wenzangu kuna shule ukipangwa ni zaidi ya jela fanya utafiti kabla hujakurupuka. shule isiyo na nyumba za walimu, vyoo, staffroom, umeme, network, iko jangwani kusiko na all wether road masika hamna usafiri, ina mkuu tu, nyumba za kupanga kijijini ni za udongo na kuna wachawi balaa.
Hahahaaaaaa these are comon problems with all these fastjet xulz now stop dreaming n collect ur lantern simu utatumia kaa tochi na kama huna solar its gud for nothing. nunua pia dawa ya kunguni for emergence.
HV WEWE hao wanaoishi huko si watanzania wenzio?? unataka nani aende huko kama si wewe halafu unajiita M4C himizeni uzalendo msilete talalila zenu hapa
 
kuna ticha alikua na kadenti anakapenda akawa anakaa nacho kwani hali kwao ilikua ngumu. dogo akafa ghafla mbaya ikawa dogo alikua anakuja usiku kumwomba chakula watu wakamwambia ni hallucination ila akiamka asubuhi anakuta mabaki ya msosi na kuna cku alitokea xlac madent wakakimbia ndo watu wakaamini. chezea mawizard ww
 
HV WEWE hao wanaoishi huko si watanzania wenzio?? unataka nani aende huko kama si wewe halafu unajiita M4C himizeni uzalendo msilete talalila zenu hapa
wee shule zenu hizi ccm ya lowasa na jk mlizokuruouka kujenga bila kuzikamilisha. cc ndo tukawamalizie shida zenu
 
Jamani shule nyingi hazifai ila no way out lazima ukaanzie uko.chonde chonde 2-3 yrs inatosha na angalia mchongo mwengine
 
asa mchizi alienda su ndo aliamua kukacha mzima.
Sasa mchizi shule alopangwa kwakua ipo porini ikabidi ofisi ya afisa elimu itoe gari la kumpeleka (land cruiser hard top) ndani ya saa 2 wapo safarini hawafiki,jamaa akamwambia dereva geuza turudi tulikotoka maana huku tuendako sitakaa,dereva akamwambia nimeambiwa nikupeleke kituo cha kazi,jamaa akasema hata tukienda ujue tutarudi wote,wewe turudi,kweli wakarudi HLMASHAURI jamaa akarudi jijin
 
Back
Top Bottom