shule hii usiikubali ajira mpya

Mshikaji baada ya kuripot ofisi za halmashauri akaambiwa anunue na mishumaa ya kwendea huko kijijin aendako maana hakuna umeme na hakuna maduka ambapo anaweza kupat huduma za haraka:majani7:
 
Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda
Kwa hiyo jamaa akaukwaa 'ualimu mkuu'?
 
Dah huyo aliamua kiutu uzima kweli kuanza upya si ujinga.
 
hapo tu pamenifanya nikuache

Ahahahahaaaasssss.....hao ndio walimu wanaofundisha watoto wetu mkuu...halafu watoto wakipata ziro wanasema vitendea kazi ndio tatizo...kumbe wenyewe ndio tatizo...wengi ni bomu
 
Ahahahahaaaasssss.....hao ndio walimu wanaofundisha watoto wetu mkuu...halafu watoto wakipata ziro wanasema vitendea kazi ndio tatizo...kumbe wenyewe ndio tatizo...wengi ni bomu

Acha umbea wewe yaani kutype o badala ya p ndo usapoti ujinga hujui natumia touch screen na I ve got a lot to do. Shughulisha ubongo kidogo mkuu. Au mpaka tuachie hako kaujumbe hapo chini ujue ni mwendo wa kutouch tu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Heheheh,mwaka 2010 jamaa yangu alipangwa mahari ila alipofika kwa afisa elim kuna mtu akaingia kutoa taarifa kuwa mkuu wa shule ameliwa na simba,ufafanuz ulipotolewa kumbe ndo shule ileile anayotakiwa kwenda

Hii kiboko,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…