Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Mshikaji baada ya kuripot ofisi za halmashauri akaambiwa anunue na mishumaa ya kwendea huko kijijin aendako maana hakuna umeme na hakuna maduka ambapo anaweza kupat huduma za haraka:majani7:jamani shule hazina mvuto wa kufundisha. Nlikimbia hii fani baada ya miaka miwili maana ni shule ya kata ipo kijijin bala. Mwalimu wa masomo ya sayansi nlikuwa peke yangu kwa shule nzima af salary 131,000/=. Hamna maabara wala maktaba. Mshahara ni mpk upande basi ndo ukachukue, ukikuta haujaingia imekula kwako maana hata mtandao haushiki huko. Nlichukia ualimu.