"Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
alimaanisha shule ya kuhudhuria darasani, sio shule ya kununua vyeti vyenye majina ya watu. wewe unaitwa daudi albert bashite, ghafla unasomeka makonda. au unaitwa madilu, ghafla unasomeka mwigulu mchema. n.k ni mfano tu lakini.
 
Makonda kasoma Chuo cha Ushirika Moshi na baadae Chuo cha Uongozi Magogoni Sasa utasemaje Shule yake haijanyooka?
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
PhD za wapi mkuu
 
Wafanye Kazi kwa ufanisi na waache chuki wapendane kwakuwa lengo ni kuijenga nchi na nchi inajengwa na wasomi na ambao sio wasomi
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
Kwanza tujue elimu yako wewe.
Maana kwa akili yako nyepesi unadhani UDOM ni chuo cha mchezo mchezo.
Walulize wenzio wanakifahamu sana.
 
Arusha mjini kuna fukuto kubwa linakuja, Gamba simuoni kama anafaa kuendelea Mbunge wa Arusha na hata sehemu yoyote.
Background yako ya Korogwe akiwa DC bado tunaikumbuka. Ulivyomdhalilisha mwanasheria wa Halmashauri mpaka unapelekwa mahakamani bado tunakumbuka. Gamba akumbuke tu kwamba yeye ni Mbunge Na Makonda ni RC. Hakuna namna yoyote ya kukufanya wewe usimheshimu RC. Hata unavyo muadress ni dhahiri kwamba humtambui kama ni Mkuu wa Mkoa. Tukukumbushe tu kwam,ba huyo RC ndio mwakilishi wa Rais katika Mkoa wa Arusha. Endelea kumdharau Makonda utakuja kujuta.
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
Alijisemea yule muhaya katika kile kitabu chake MAKUWADI NA MADALALI WA ELIMU.....

Mdogo wangu NZL ameniambia amepata PhD ya Engineering online .....nikajichekea tu ha ha ha ha
 
Alimaliza ka postgraduate kake diploma hapo Arusha.
Screenshot_20250225-234335_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom